Tahadhari wanajamvi, kuweni makini kumezuka matapeli wa pesa kama DECI

Tahadhari wanajamvi, kuweni makini kumezuka matapeli wa pesa kama DECI

mmanta

Member
Joined
Nov 5, 2017
Posts
29
Reaction score
41
Kampuni ya diamond traders yaliza watu ni ile inayofanana na DECI tahadharini wanajamvi wenzangu kuna makundi yenye no za uwakala yamezuka yanayofanya investment kwa njia ya mpesa na tigopesa baada ya siku 9 wanrdsha pesa yako na profit ni kweli mwanzo wanaanza vizuri baadae in a Kuwa kama mzungu na nyani
 
Ngoja mpigwe ndani ya shithole country
 
Back
Top Bottom