No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
1. Kuna watu wanapenda kusikia taarifa zako mbaya kuliko njema.
2. Kuna watu wanakuwa wa kwanza kukupa taarifa mbaya kuliko njema.
3. Kuna watu Ukipata tatizo lolote wao ndio wa kwanza kukupigia simu wakati hujatoa taarifa popote.
4. Kuna watu kila unachokifanya wanakifatilia halafu wanacomments hata kama ni la kwako binafsi.
5. Kuna watu wapo tayari mgombane kwa sababu tu Hujafuata ushauri wao.
Hao watu kila siku wanaongezeka katika jamii haswa katika mizunguko yako ya kutafuta riziki, makazini, maofisini, mtaani yaani ni watu wa kukaa nao mbali km ukoma Usiwasikilize kwa lolote hutafanya lolote wao muda wote Ku- Discourage usifikie malengo yako yaani hao ni wachawi tunaokutana nao kila siku, Ila tunawachukulia poaa!