kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Mwaka jana, wakati kama huu (siku kuu mfululizo), nilimpoteza rafiki yangu kipenzi.
Alipenda sana pombe kali, bia alikuwa hataki.
Kula chakula alikuwa mvivu.
Sasa alianza na pombe Kali, Alhamisi jioni, (hapo ni mpaka masaa marefu), Ijumaa, Jumamosi, Jumapili, Jumatatu!
Sasa Jumanne tumefika ofisini(tulikuwa ofisi moja), saa mbili, saa tatu, saa nne, mmmh! kimya hakuna mtu.
Nikamfuata nyumbani kwake. Gonga mlango weee! kimya.
Nikaita majirani, nikapiga simu ofisini.
Uamuzi ikawa kuvunja mlango.
Mshangao! Jamaa amelala usingizi mzito, chupa pembeni.
Postmortem, no food at all. Liver failure!!
Comrades be careful!!