kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Alikufa kibuduthen
Tatizo Ni pombe usinywe nyingi alafu msosi ule wa maana sio unagusa gusaKwahiyo tatizo ni pombe au tatizo ni chakula, tuweke sawa comrade!
Haya tukiacha pombe kali wewe mapendekezo yako ni tunywe pombe gani?
Yote kwa yote tusipokunywa pombe mtaunganisha kilio cha kulipia ada watoto wenu na hiki cha mafuta...
Japo akina Tomaso hawakosekaniWamekusikia
Pole sana kwa kumpoteza huyo rafiki yako Chapombe na mvivu wa kula. Naamini huu ushauri wako utamsaidia sana Mzee Mgaya wa pale Kihesa Iringa.Mwaka jana, wakati kama huu (siku kuu mfululizo), nilimpoteza rafiki yangu kipenzi.
Alipenda sana pombe kali, bia alikuwa hataki.
Kula chakula alikuwa mvivu.
Sasa alianza na pombe Kali, Alhamisi jioni, (hapo ni mpaka masaa marefu), Ijumaa, Jumamosi, Jumapili, Jumatatu!
Sasa Jumanne tumefika ofisini(tulikuwa ofisi moja), saa mbili, saa tatu, saa nne, mmmh! kimya hakuna mtu.
Nikamfuata nyumbani kwake. Gonga mlango weee! kimya.
Nikaita majirani, nikapiga simu ofisini.
Uamuzi ikawa kuvunja mlango.
Mshangao! Jamaa amelala usingizi mzito, chupa pembeni.
Postmortem, no food at all. Liver failure!!
Comrades be careful!!
Ukipiga pombe vizuri unapata ujasiri wa kulipa tozo yoyote bila manung'uniko.Waache pombe kabisa
Kwani na yeye hupiga mdindifu kwa msapulo pekee?ππππPole sana kwa kumpoteza huyo rafiki yako Chapombe na mvivu wa kula. Naamini huu ushauri wako utamsaidia sana Mzee Mgaya wa pale Kihesa Iringa.