TAHADHARI: Waziri Aweso maji Dar yatakuondoa, Meneja Kimara anakuhujumu

TAHADHARI: Waziri Aweso maji Dar yatakuondoa, Meneja Kimara anakuhujumu

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Ni almost wiki sasa maji Kimara hakuna na sio wiki hii tu maji kwa mkoa wa Dar ni ngumu kutoka wa wiki nzima bila kukatika na yanaweza yakakata hata siku kumi bila notice wala sababu za msingi.

Uko huko unapambana huku maji wanakata wanasema umejaa story tu huna la kuwafanya eti wewe ni mshikaji sana sasa huo ushikaji wenu wa kuwaumiza wananchi ndio nini.

Kwa sasa katika baraza la rais Samia wewe ndio upochini ya kiwango kwa mujibu w data za miezi mitatu mitatu ya ripoti ya serkali kwa CCM kama unabisha muulize SG wa chama.

Ulianza na kusema ukame ruvu baadae pressure sasa nininini, wanasema umejaa visingizio

Maji hayachujwi yamejaa matope, hayatoki, yakitoka yamejaa uchafu n harufu tabu tupu

Itunze hii post baraza ukijikuta nje usije kulalamika

USSR
 
Back
Top Bottom