KERO Tahadhari ya Lugha ya matusi; Hivi serikali imeshindwa kupambana na matapeli wanaopigia watu simu wakijifanya wafanyakazi wa kampuni za mawasiliano?

KERO Tahadhari ya Lugha ya matusi; Hivi serikali imeshindwa kupambana na matapeli wanaopigia watu simu wakijifanya wafanyakazi wa kampuni za mawasiliano?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Matapel kila siku wanapiga simu na kudai ni watoa huduma kwa wateja na ukiwasanukia wanatukana sana matusi mabaya na ya nguoni, kama umekaa na watu wako au familia yako inakuwa ni aibu na inaleta kero sana

Je, hivi ni kweli MAMLAKA YA MAWASILIANO TCCRA IMESHIDWA KUTHIBITI HAWA WATU
 

Attachments

Sasa jamaa kwanini akutukane matusi makubwa namna hiyo! Sijaona kosa lako hapo.
 
Mkuu we ni mstarabu,ingekuwa mimi nisakulaa highlife zangu angeogaa matusi
 
Kwenye stories of change mwaka 2024 niliandika andiko zuri lakuisaidia serikali na Tcra kwenye hili swala ,kama watazingatia basi itakua suruhisho
 
Hua wanatuma sms kila siku kujihadhari na matapeli.
Ukimhisi mtu ni tapeli unamkatia tu simu mambo yasiwe mengi.
 
Inawezekana nao wanatoa gawio ndio maana wanatumia namba za TTCL. Mwizi akiiba fedha kwa njia ya simu anazitoa hapohapo, imewahi kujiuliza wanazitolea wapi? Pia Kuna wakati pesa inahamishwa toka mtandao mmoja kwenda mwingine, unaambiwa ikishahamishwa ndio imepotea!!
 
Back
Top Bottom