Tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Surua Dodoma

Tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Surua Dodoma

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
photo_2023-11-21_09-56-21.jpg


YAH: TAARIFA YA MLIPUKO WA UGONJWA WA SURUA KATIKA JIJI LA DODOMA

Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.

Mnajulishwa kuwapo na mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika Jiji la Dodoma. Na hili linatokana na sampuli zilizochukuliwa kuthibitika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa Suru ana hivyo kufanya Wilaya yetu kuwa na mlipuko wa Ugonjwa wa Surua.

Kwa barua hii mnaelekezwa kuwajulisha wananchi kuchukua tahadhari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa surau na pia kuwapeleka Watoto wenye umri chini ya miaka 05 katika Zahanati vituo vya Afya kupatiwa chanjo ya ugonjwa huo.

Nawatakia utekelezaji mwema.

Patrick Bashemara
Kny; MKURUGENZI WA JIJI
DODOMA​
 
Ptrick Bashemera ni daktari wa hospitali ipi?!
 
Back
Top Bottom