johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni Ubunifu tu bwasheeHivi kutakuwa na madhara yoyote kama waki introduce sangara au Sato kwenye hili ziwa ili kuanzishwa shughuli za uvuvi kando kando yake?
Pascal Mayalla
johnthebaptist
Mshana Jr
Japo Mimi sio mtaalam wa samaki, lakini hakuna ubaya wowote kuintroduce ufugaji samaki. Samaki wa Ziwa Victoria, ni sato na kamongo. Sato walizidi sana na ku disturb water flow ya Egypt, hivyo waka introduce Sangara aliletwa ili awale Sato. Sangara kwanza aliwatafuna kamongo wote, pili aliwapunguza sana Sato!. Uki introduce Sato na Sangara bwawani, itakuwa poa sanaHivi kutakuwa na madhara yoyote kama waki introduce sangara au Sato kwenye hili ziwa ili kuanzishwa shughuli za uvuvi kando kando yake?
Pascal Mayalla
johnthebaptist
Mshana Jr
Wataharibu samaki waliopoHivi kutakuwa na madhara yoyote kama waki introduce sangara au Sato kwenye hili ziwa ili kuanzishwa shughuli za uvuvi kando kando yake?
Pascal Mayalla
johnthebaptist
Mshana Jr
Nani kakwambia Bashe Ana akili? Tokea lini msomali zikawa kichwani?Bashe badala ya kwenda huko kujenga mashamba ya umwagiliaji. Mashamba ya kutotesheleza kwa mpunga na sukari yeye anahangaika na masharobaro wa BBT!
Kwa sasa wapo samaki gani? Perege?Wataharibu samaki waliopo
Sijajua hasa lakini ni tofauti na wa ziwa viktoriaKwa sasa wapo samaki gani? Perege?
Kwanin aende bashe usiende wew? Si tumekubaliana serikali hailimi?Bashe badala ya kwenda huko kujenga mashamba ya umwagiliaji. Mashamba ya kutotesheleza kwa mpunga na sukari yeye anahangaika na masharobaro wa BBT!
Nani kasema serikali ilime?Kwanin aende bashe usiende wew? Si tumekubaliana serikali hailimi?
Nenda Chato kwanzaMkuu wa mkoa wa Pwani ametoa tahadhari kwa wananchi waishio mwambao wa mto Rufiji kwani mto huo umefurika na maji kuanza kuvamia makazi ya watu baada ya bwawa la kufua umeme la mwalimu Nyerere kufunguliwa maji yake.
Ikumbukwe bwawa hilo baada ya kukamilika lilitakiwa kufungwa mashine tisa ili zizalishe umeme wa megawatts 2115 lakini mpaka sasa baada ya kukamilika limefungwa mashine moja tu inayozalisha megawatts 235! ,hali hiyo imepelekea maji yafunguliwe tu na kuenda bure ili kuzuia bwawa lisiendelee kujaa zaidi.
My take. Chadema mpo?
Si January alisema itachukua miaka 5 kulijaza sijui alikuwa anamaanisha nini huyo kilazaMkuu wa mkoa wa Pwani ametoa tahadhari kwa wananchi waishio mwambao wa mto Rufiji kwani mto huo umefurika na maji kuanza kuvamia makazi ya watu baada ya bwawa la kufua umeme la mwalimu Nyerere kufunguliwa maji yake.
Ikumbukwe bwawa hilo baada ya kukamilika lilitakiwa kufungwa mashine tisa ili zizalishe umeme wa megawatts 2115 lakini mpaka sasa baada ya kukamilika limefungwa mashine moja tu inayozalisha megawatts 235! ,hali hiyo imepelekea maji yafunguliwe tu na kuenda bure ili kuzuia bwawa lisiendelee kujaa zaidi.
My take. Chadema mpo?
Na magufuli wakati analizindua hicho kitu alikisistiza kam mojawapo ya faida lakin akina nape ndo wakawa wansshupaza shingoNi Ubunifu tu bwashee
Nikiwa kama mtaalamu wa viumbe wa majini (aquatic species) sishauli ufanyike upandikizaji wa samaki wageni (exotic fish) kwa sababu zifuatazoJapo Mimi sio mtaalam wa samaki, lakini hakuna ubaya wowote kuintroduce ufugaji samaki. Samaki wa Ziwa Victoria, ni sato na kamongo. Sato walizidi sana na ku disturb water flow ya Egypt, hivyo waka introduce Sangara aliletwa ili awale Sato. Sangara kwanza aliwatafuna kamongo wote, pili aliwapunguza sana Sato!. Uki introduce Sato na Sangara bwawani, itakuwa poa sana
P