ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mamlaka ya hali ya hewa imetutadhalisha juu ya janga la kimbunga hidaya kinachowasili hapa nchini hivi karibu
Binafsi sielewi ni tahadhari zipi nichukue
1. Tusisogelee maeneo ya bahari?
2.Tusiwe kwenye misongamano ya watu?
3. Tusikae milimani?
4. Tuandae chakula cha kutosha?
5.mavazi yaweje?
Naomba mawazo yenu
Binafsi sielewi ni tahadhari zipi nichukue
1. Tusisogelee maeneo ya bahari?
2.Tusiwe kwenye misongamano ya watu?
3. Tusikae milimani?
4. Tuandae chakula cha kutosha?
5.mavazi yaweje?
Naomba mawazo yenu