Tahadhari

crista galli

Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
13
Reaction score
11
Hamna dawa ya kuongeza uume, iwe ya hospitalini au ya tiba za asili, usdanganyike
 
Kwanza huko nikumkosoa muumba wako na pili wewe wakati unatafuta ya kuongeza kunawenzako wanatafuta yakupunguza walau ibaki hata size ya punje ya haragwe ili tu afaidi ule mtelezo lakini haiwezekani chamsingi nikutafuta maufundi ya kukitumia kile ulicho nacho maana ukumbuke hakuna kufuli lililotengenezwa bila funguo yake hivyo ukiona unakibamia ujue kunabibie ana papuchi size ya kisoda ambae ndio level yako
 
Vipi tena mbona umeruka moja kwa moja kwenye conclusion? Endelea kupambana na hali yako ipo siku utaipata dawa ya ukweli .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…