Tahadhari

Tahadhari

Tall

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
1,425
Reaction score
168
Kuna wale wenye tabia ya kumpeleka mpenzi wake nyumbani kwake na kucheza nae mechi kwenye uwanja wa taifa(bedroom) huku wakiwa ni wake au waume za watu:SOMENI HII:
Jana maeneo ya kinondoni ulitokea ugomvi mkali sana kati ya mume na mke. Mke alisafiri wakati wa pasaka na baada ya
kurudi nyumbani akitokea mapunziko ya pasaka alikoenda kwa wazazi wa mumewe.
Aliporudi,baada ya kupumnzika aliamua kufanya usafi wa bedroom na sehemu zingine,la haula la kwata, alishangaa kukuta chu*i chafu isiyo yake ikiwa imevingirishwa na usedcondom imetupwa uvunguni.Jamaa hakuwahi kuiona kabla ya wife.
Kilichotokea ni kuwa jamaa alimleta msichana wake home wakati mkewe akiwa safari,wakacheza mechi bed room/juu ya kitanda cha ndoa,baada ya kuondoka sijui ni kumkomoa jamaa au malipo yalikuwa kiduchu,ila bibie kaamua kuiacha kufuli na usedcondom uvunguni mwa kitanda.ILI kuwagombanisha SIJUI?AU ILI AOLEWE YEYE? hapo sielewi,ninachouliza?
kwani lazima uibe? na kama ni kuzidiwa na kale kaubaridi ka mvua ya pasaka ndio
mechi ifanyike uwanja wa taifa?wewe unamkaribisha mtu shaaaa hadi chumba cha ndani,akikuchuna ngozi?au ndo kumkomoa mwenzio.Nimeona niwape tahadhari wale wenye tabia hizi najua hapa JF HAWAPO ila tukawajulishe wale wengine nje ya JF,unaweza vunja ndoa pasipokutegemea
Mwana JF wewe ungekuwa ndio huyo mme/mke mwenyenyumba ungefanyaje?
 
Mhhh! jamaa aliona hela ya gesti ni nyingi au?
Hakufikiria uzuri huo!~
 
Hapo penye wekundu ulimi umeteleza? Nijuavyo JF ni kila kitu...hebu muulize Masanilo
 
Huyo jamaa hakika ni zuzu magic.
Kinondoni guest houses kibao, yeye anang'ang'ania kumpeleka kwake.
Halafu hizi si zama za kufanya uzinzi.
Hizi ni zama za kumrudia mungu.
 
Back
Top Bottom