Tahadharini: Watumiaji wa e-mail

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
Watumiaji wa email kupitia http://www.hotmail.com, kuna watu matapeli ambao wanatuma jumbe za kukutaadharisha kuwa kuna matatizo katika anuani pepe yako na wanakutaka utume maelezo yako binafsi, hawa watu ni matapeli na msiwasikilize.

Hapa chini ni moja ya email ambazo wamenitumia, kwa hiyo kuwenu na taadhari.

 
Mkuu hii kitu imekuwepo kwa muda mrefu sasa...na hadi leo kuna watu wanalizwa..!
 
Asante kwa taarifa mkuu tutakuwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…