TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia

Mkuu Mtambuzi umenisaidia asante kwa shule...!!
 
hapo mwanzo mimi nlikuwa najaribu jaribu kufanya meditation lakin leo nlipojaribu nlikaa kwamuda kidogo mala ile yakulala mara ghafla mwili uligwa kama shot iv upande mmoj wakushot nililushwa.iv hii ninin?
 
Hivi ni kweli haunifahamu au roho mbaya tu?
 
Aise! ilipofika saa saba mchana nilitoka kidogo nikaenda nikapata juice glass moja. Niliporudi ofisini (niko peke yangu) nimeaza kusoma upya hii thread. Nilipomaliza kusoma nikazima simu, computer nikiwa tayari nimefunga milango yote. Nimetumia maneno haya MUMOMAKIFEMA (hili neno nimeliform mwenyewe kwa ajili ya tahajudi yangu.
Ghafla nilichokiona ..
Ila nimetokwa na jasho hadi sasa najishangaa ... nilikuwa na wasiwasi moyoni pasipo sababu lakini kwa sasa niko free sana moyoni.
Niliwahi kufanya usiku ... ila ya mchana sikuwahi .. aahsante mtoa mada . kumbe tuendelee kusoma kuna vingi vimejificha kwenye maandiko.
 
Habari wadau. Ukwel meditation au tahajudi ni nzuri sana hasa kama mtu anamsongo wa mawazo kwani mimi huwa natumia hii kupunguza mawazo pindi mambo yanakuwa magumu na mawazo mengi, inasaidi sana kupunguza uchovu wa akili, kijenga mawazo mapya.

kupata usingizi hii nimetumia mara nyingi kama nasumbuliwa na kukosa usingizi aka Insomnia badala ya kumeza dawa tumia meditation. Hii huwa nalala nyumba ikiwa kimya kabisaa kisha naanza kuhesabu kuanzia 100, 99,98 nashuka kuelekea 1 nahesabu na kuvisualize hizi namba huku nkiwa nmesinzia na kuwa siwazi kitu kingne zaid ya kuziona hizo namba kichwani mwangu. Kwa uzoefu tu nakumbuka sijawahi fika 50 hapo napitiwa na usingizi mzito na mzuri hadi asubuh. Asanteni waleta mada coz yote haya nmejigunzia humu humu
 
Umefanya kuwa dawa ya usingizi Mkuu....
 
Umefanya kuwa dawa ya usingizi Mkuu....
 
Ujhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
B

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…