Tahakiki, uchambuzi na maana ya wimbo wa "KWANGWARU".

[emoji16][emoji16][emoji16]Haya chambua na ule mvumo wa radi
Yule amezingua, toka lini radi ikavuma? Radi inaunguruma au kurindima, kitu kingine kinacho unguruma ni Simba...
Bora tu angesema mvumo wa kinanda maana hata baadhi ya wachambuzi wa muziki wanasema anajua sana kuimba na sauti yake ni OG na nyororo...[emoji1] [emoji1]
 
we mtu m'baya sanaa.... inaonekana unazifahamu sana habari hizi.... na bila shaka.. watu wa necta wanatambua sana uwezo wako.
 
Ile biti angepewa gozbert,ni ya kwaya
 


Uchambuzi kuntu to my favorite song ila mi naomba tasfiri ya mistari hii tu yaani mpaka sasa siielewi kabisa


"....Nataka kucheza chura na ingali umesimama...."

"...Unataka maji ya kisima na mwoga kuchutama..."

"..Unataka kupiga deki wima umesimama....."

"....Si unataka vya pool table sa' mbona unajibana,...."



Ni hayo tu
 
Wadau, wimbo wa Harmonize & Diamond uitwao Kwangaru ni wimbo mzuri sana hasa kwnye midundo na mashairi hasa kipande alichoimba Harmonize ila Diamond alikosea kuingiza maneno ya matusi ambayo yanaleta ukakasi......inaleta shida wimbo ukipigwa kwenye sherehe ambazo kuna watu wa heshima.....Ni mawazo yangu tu.
 
kwani hao watu wa heshima hawajui matusi ajabu nn?
 
Kwahiyo unashauri nini?
Tuufungie au tuuache!?
Muwakilishi wa batasata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…