GE2025 Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia, 03 Novemba 2025: Muhtsari, Mazuri, Mabaya, Mapengo, Uwongo na Ubatili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kilichonivutia kwenye hotuba yake ilitoka kichwani,kichwa maziwa kile 🙌
 
hili jambo kuwa hawa wauhaji ni wakukodi linaweza kuwa na mashiko kwa kiasi fulani haswa uliposema wakikukuta watatu au zaidi hata kam upo kibaradhani kwako wanakushoot
tarehe 29 usiku saa 2 kasoro
vijana watatu walikiwa wapo dukani
na dukani tena sio main road
walipiga risasi random wawili wakafa palepale mmoja akajeruhiwa mguuni mpk hivi sasa mida huu yupo HOSPTARI inahitajika kufanyiwa operesheni

imagine wako kwao dukani hawakuuliza JUST SHOOT THEM

ninavyojua WANGEKUWA POLISI WA TANZANIA pamoja na mapungufu yao lazima kwanza wangetoa amri waondoke
kwann nilikutana POLISI wa TANZANIA WAKIWA NA NGUO ZA KIJANI saa 1 kasoro tarehe 31 natoka mtaa wa piri kurudi NYUMBANI tupo wanne wanaune watatu mwanamke mmoja

wakasema simama MIKONO juu
wakauliza mnatoka wapi sa hizi tukajibu kununua chakura
wakasema leteni vitamburisho vya NIDA wote tulikuwa hatuna ila mmoja akasema namba ya nida ninayokwenye simu na wengine tukadandia kwa hofu hata sisi pia tunazo hapo mikono bado ipo juu
wakasema haya ruka kichurachura
baada km dkka 1 ya kichurachura wakasema poteeni then akapiga lile bomu la kutoa risasi za mpira juu sisi mbio mpk home
tangu siku hiyo sikutoka tena nje maana nliishiwa chakula ndio tukapata taarifa kuna duka lilifunguliwa lakini ni lazima uvuke MAIN ROAD utafanyaje kufa na njaa aukufa kwa risasi haswa baada kupata taarifa ya watu wanauwawa kweli
 
Unaish wapi kwanza, kulikuwa na randomly shooting and kill binafsi nimekoswa na risas tar 30 Ni Mungu tu siku ile ,walikuwa ktk magari private wanamwaga risas ovyo kwenye sehem watu wamekaa nina picha za matundu ya risas ktk geti la nyumban
Pole. Ila hilo halionyeshi kwamba walikuwa wageni.
 
Rais wetu hakujaliwa kuwa na akili nyingi, na bahati mbaya yeye mwenyewe tena ndio anajichagulia washauri wa kumsaidia na ndio hao wamemuandalia hiyo hotuba iliyoshindwa kusoma mood ya watz walio wengi ikoje kwasasa!!.
Hii sio mara ya kwanza, haishangazi wananchi walio wengi waligoma kutoka kwenda kumpigia kura!!!.
 
JAMBO LILILONITISHA NI KWAMBA SASA UGAIDI UMEANZA RASMI.

NIMESIKILIZA MIJADALA MBALIMBALI KWENYE CLUB HOUSE NA MARIA SPACES NA KUJIRIDHISHA KUWA MAANDAMANO YALIRATIBIWA KWA UMAKINI MKUBWA.
NA SASA HAO WAANDAMANAJI WAMEAZIMIA KUANZA MASHAMBULIZI YA KIMYA KIMYA DHIDI YA VIONGOZI WA CCM WA NGAZI ZOTE, WABUNGE, MADIWANI, VIONGOZI WA SERIKALI KAMA VILE WAKUU WA MIKOA, WILAYA NA WATENDAJI WA MITAA, VIJIJI NA KATA.

WANASEMA MAUAJI HAYO YATAWAHUSU PIA NDUGU, WATOTO NA FAMILIA ZA HAO VIONGOZI WALIOTAJWA.

PIA POLISI WA AINA YOYOTE AKIZUBAA MAHALI POPOTE ANASUGHULIKIWA KWA MISHALE YENYE SUMU KALI (SULPHURIC ACID)

KUTAKUWA PIA KUNAKULIPUA MAJENGO YA SERIKALI NA MIUNDOMBINU YA BIASHARA YA WATU WOTE WENYE UHUSIANO NA CCM AU SERIKALI.

NAAAMINI SISI CCM HATUWEZI KUJILINDA NA HATA VYOMBO VYA DOLA HAVINAUWEZO WA KULINDA MAENEO YOTE HAYO.

NASHAURI VIONGOZI WA CHAMA CHANGU NA SERIKALI YAKE WAFANYE MARIDHIANO HARAKA IWEZEKANAVYO.VIONGINEVYO TUTAANZA KUONA MILIPUKO NA MAUAJI YA KUSHTUKIZA MUDA SI MREFU.
 
Aliyeandika hotuba ule utakuta ni bwana yule wa goli la mama
 
kwanza huyo anajua kutoa hotuba kwani zaidi ya mipasho na singeli.
 
Wameuwa wakifanya kama ni mfano kuowaonya na kuwatisha watanzania wasiandamane tena, kwa maana wanajua ni waoga mno…lakini walichofanya ni kama kumwagia moto petrol.. kimbunga kinachokuja sidhani kama wataweza kuzuia…haya mambo hayajaanza leo. So watu watakuja na mbinu zingine bila hata internet ila hali ni mbaya #SMG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…