HahahahKuna siku niliandika humu humu. WANAIMBA KIJAMAA ; WANACHEZA KIBEPARI!!!.
Hili nililiona wazi linakujaTV ya Mtandaoni Jambo Tv imefungiwa na huwezi kuona tena video na matukio yote yaliyowekwa kwenye Youtube Channel ya Jambo Tv.
Sababu za kufungiwa chombo hicho bado hazijulikani ila kuna tetesi zikiwahusisha mawaziri 4 wanaotuhumiwa kwa kashfa mbalimbali za ufisadi... Tupaze sauti watanzania wote Jambo Tv Youtube Channel irudi hewani
View attachment 2822301