GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijawahi kuona Pasaka ambayo Wachungaji na Makasisi wengi ' Wamenuna ' na wana ' Hasira ' hata Nyusoni mwao kama hii ya leo. Kuna Kanisa Moja Wilayani Kinondoni Siku zote Saa 2 Asubuhi huwa ' limeshafurika ' Waumini na Sadaka yake kwa Siku hufikia Shilingi Milioni hata Tatu hadi Nne ila cha Ajabu mpaka muda huu Watu waliopo ni Mchungaji na Familia yake, Mpiga Kinanda na Wanakwaya huku ' Vikapu ' vyao vya Sadaka vikiwa vinapiga ' Miayo ' tu.
Shikamoo COVID-19, Mvua hii Kubwa na ya Ajabu ya Jijini Dar es Salaam na Ukata mkubwa Mifukoni mwetu. Tutaheshimiana!
Kazi kweli kweli!
Shikamoo COVID-19, Mvua hii Kubwa na ya Ajabu ya Jijini Dar es Salaam na Ukata mkubwa Mifukoni mwetu. Tutaheshimiana!
Kazi kweli kweli!