GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mvua imeleta stay at home order
Kuna Mchungaji Mmoja leo muda wote ' Anafokafoka ' tu kwa Hasira na tokea nimjue sijawahi Kumuona akiwa hivi. Sijui amekopa mahala na labda alitegemea ' Nyomi ' la leo Pasaka ili Sadaka iwe nyingi Jumanne akapunguze kama si Kulipa Deni la Watu! Shikamoo Mvua ya Ajabu ya Dar es Salaam, Taharuki ya CORONA na Njaa ya Kutukuka iliyoko Mifukoni mwetu.