TAHLISO mbona kimya kwa HESLB....!??

donmasam

Senior Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
161
Reaction score
36
Hivi hii jumuiya ya vyuo vikuu tanzania inafanya kitu gani mpaka sasa hatujaskia lolote kutoka kwao kama wanafuatilia suala la waliokosa mkopo ama na wao ndo kwa kuwa wanaingia kwenye bodi washakula 10%.....xxx
 
tamko lip tena dogo ni hiv haijawai kutokea mwaka wanafunzi wote wamepata mkopo labda itokee mwakani sababu ya uchaguzi
 
so huwa ikitokea kama hivyo wao wanakaa kimya tu c ndivyo!??
 
Hawa viongozi wetu nao wanajifunza tabia zilezile za viongozi wa nchi,,,msimamo zeroooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo,,,,,,,,,,,,,,,during election tukiwa chuo tunawaondoa wote,,,tunaweka wapya,,,,,wenye mawazo mapya,,,,
 
how come watu waliofaulu vizur then ni maskin na yatma na vielelezo vyote waliwasilsha wanyimwe, dat's ridiculous
 
achaneni nao kusoma sio lazima kaweni warusha vitu vyenye ncha kali kama mimi vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…