nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 131
Wakuu naomba kujua uwepo na ushiriki wa hawa wasomi wetu wa vyuo vikuu ktk katiba mpya.Mbona wamekua kimya hivi?
Enzi za kina Mtatiro jumuiya hii was very hot lakini siku hizi ni kama imefutwa vile.Viongozi wake hawajulikani kitaifa,madai ya wanafunzi kimya.
TAHLISO kunani?
Enzi za kina Mtatiro jumuiya hii was very hot lakini siku hizi ni kama imefutwa vile.Viongozi wake hawajulikani kitaifa,madai ya wanafunzi kimya.
TAHLISO kunani?