Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Baed huyo anatafuta ajiraRais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali ya awamu ya sita.
Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 15 Mei 2025 jijini Dar es Salaam, Kiliba amepongeza serikali kwa hatua thabiti ilizochukua kuboresha elimu, ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu, kuongeza bajeti ya elimu, na kuwekeza katika maendeleo ya walimu na wanafunzi.
Ametoa kauli hiyo wakati akichambua bajeti ya Wizara ya Elimu kwa mwaka wa fedha 2025/2026 , akieleza kuwa bajeti hiyo inaonyesha mwelekeo chanya wa mageuzi katika sekta hiyo muhimu kwa maendeleo ya taifa.
Kiliba pia amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi, na wadau wengine wa elimu katika kuhakikisha ubora na usawa wa elimu kwa Watanzania wote.
Bodaboda inamsubiri punde tu akimaliza chuoRais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali ya awamu ya sita.
Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 15 Mei 2025 jijini Dar es Salaam, Kiliba amepongeza serikali kwa hatua thabiti ilizochukua kuboresha elimu, ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu, kuongeza bajeti ya elimu, na kuwekeza katika maendeleo ya walimu na wanafunzi.
Ametoa kauli hiyo wakati akichambua bajeti ya Wizara ya Elimu kwa mwaka wa fedha 2025/2026 , akieleza kuwa bajeti hiyo inaonyesha mwelekeo chanya wa mageuzi katika sekta hiyo muhimu kwa maendeleo ya taifa.
Kiliba pia amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi, na wadau wengine wa elimu katika kuhakikisha ubora na usawa wa elimu kwa Watanzania wote.
Chawa mtoto!Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali ya awamu ya sita.
Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 15 Mei 2025 jijini Dar es Salaam, Kiliba amepongeza serikali kwa hatua thabiti ilizochukua kuboresha elimu, ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu, kuongeza bajeti ya elimu, na kuwekeza katika maendeleo ya walimu na wanafunzi.
Ametoa kauli hiyo wakati akichambua bajeti ya Wizara ya Elimu kwa mwaka wa fedha 2025/2026 , akieleza kuwa bajeti hiyo inaonyesha mwelekeo chanya wa mageuzi katika sekta hiyo muhimu kwa maendeleo ya taifa.
Kiliba pia amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi, na wadau wengine wa elimu katika kuhakikisha ubora na usawa wa elimu kwa Watanzania wote.
Ajiandae kwenda vetaRais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali ya awamu ya sita.
Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 15 Mei 2025 jijini Dar es Salaam, Kiliba amepongeza serikali kwa hatua thabiti ilizochukua kuboresha elimu, ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu, kuongeza bajeti ya elimu, na kuwekeza katika maendeleo ya walimu na wanafunzi.
Ametoa kauli hiyo wakati akichambua bajeti ya Wizara ya Elimu kwa mwaka wa fedha 2025/2026 , akieleza kuwa bajeti hiyo inaonyesha mwelekeo chanya wa mageuzi katika sekta hiyo muhimu kwa maendeleo ya taifa.
Kiliba pia amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi, na wadau wengine wa elimu katika kuhakikisha ubora na usawa wa elimu kwa Watanzania wote.
Naona matope inatokotaRais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali ya awamu ya sita.
Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 15 Mei 2025 jijini Dar es Salaam, Kiliba amepongeza serikali kwa hatua thabiti ilizochukua kuboresha elimu, ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu, kuongeza bajeti ya elimu, na kuwekeza katika maendeleo ya walimu na wanafunzi.
Ametoa kauli hiyo wakati akichambua bajeti ya Wizara ya Elimu kwa mwaka wa fedha 2025/2026 , akieleza kuwa bajeti hiyo inaonyesha mwelekeo chanya wa mageuzi katika sekta hiyo muhimu kwa maendeleo ya taifa.
Kiliba pia amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi, na wadau wengine wa elimu katika kuhakikisha ubora na usawa wa elimu kwa Watanzania wote.
πRais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali ya awamu ya sita.
Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 15 Mei 2025 jijini Dar es Salaam, Kiliba amepongeza serikali kwa hatua thabiti ilizochukua kuboresha elimu, ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu, kuongeza bajeti ya elimu, na kuwekeza katika maendeleo ya walimu na wanafunzi.
Ametoa kauli hiyo wakati akichambua bajeti ya Wizara ya Elimu kwa mwaka wa fedha 2025/2026 , akieleza kuwa bajeti hiyo inaonyesha mwelekeo chanya wa mageuzi katika sekta hiyo muhimu kwa maendeleo ya taifa.
Kiliba pia amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi, na wadau wengine wa elimu katika kuhakikisha ubora na usawa wa elimu kwa Watanzania wote.
Akiulizwa maana ya haya maneno hawezi kujibu hata Kwa facts mbili zinazowexa kueleweka!Kiliba pia amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi, na wadau wengine wa elimu katika kuhakikisha ubora na usawa wa elimu kwa Watanzania wote
ππππͺRais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali ya awamu ya sita.