Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa miaka mingi sana chombo hiki kimekua msaada kwa mustakabali wa elimu nchini lakini matatizo mengi yametokana na siasa, wakuu wa shule wameachiwa mzigo wa kuendesha shule..... Ntarudi kikao ndo kinaaanza
"Nchi ngumu hii"
umaskini wako wa fikra ndo unakuongoza uone hivyo TAHOSSA ni mradi wa watu,na haijawahi kuwa na wawakirishi ni wakuu wa shule tu
kiujumla ni kundi flani hv lililokuwa linatekeleza mambo yake kinyume na mitazamo ya wengi
Hebu nijuze mkuu ni kwa vipi umaskini wangu wa fikra? Na je ukweli ukoje?
"Nchi ngumu hii"