HEBU NISAIDIENI KWANI HAWA WANAOJIITA TAHOSSA WAO SIO WAALIMU? Kwani wengi wao mashuleni hawafundishi, shuleni hufika wanapojisikia, naomba mnisaidie kama wao waliajiriwa kama walimu au kama wafanyakazi wa kukaa ofisini tu.....................................................??????????????????????????????
Umemfafanulia kwa usahihi kabisa.Hakuna cheo au mtu mmoja mmoja aitwae TAHOSSA. Lakini hebu yeye atueleze alikuwa anafikiri TAHOSSA nini ni au ni nani?Tanzania Heads Of Secondary Schools Association (TAHOSSA), wanachama wake ni wakuu wa shule tu (makamu wakuu wanaweza kuhudhuria kwa niaba ya wakuu wa shule kwa barua maalum na hawawezi kushiriki kwenye upigaji kura).