Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Ccm walishachoka kuongoza hili taifa, na huyu mwenyekiti wao waliyempata kwa sasa basi anawaburuza kama gari bovu.Ukiangalia comments na post za wanaccm juu ya sera ya Lissu kuongeza ubora wa elimu yetu ili watu wetu wapate ujuzi na maarifa badala ya vyeti tu wanavyopata kwa sasa ndo utaona ndo utajua hawa watu wana Nia gani na nchi hii