Elections 2010 Taifa au Chama kwanza? Endorsement Tz ingekuwapo wangesema ila huenda tupo nao!

Elections 2010 Taifa au Chama kwanza? Endorsement Tz ingekuwapo wangesema ila huenda tupo nao!

Selous

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2008
Posts
1,325
Reaction score
145
Kuna viongozi wa ngazi mbali mbali wa CCM ambao aslani hawapendezwi na miendeno ya viongozi wa CCM ya sasa aka CCM - Kikwete (BMW). Naamini kabisa wapo wengine wanajiandaa kuhamia CHADEMA (kama itabakia kama chama madhubuti) siku za usoni. Naamini wengine historia yao ndo inawafanya wabakie pale walipo ijapokuwa wanapenda kupractise siasA (siwezi kuwataja) ila wapo wengine kama wangekuwa ni vijana basi wangeondoka kwa kuwa historia yao, miendeno yao inafanya roho zao ziume.

Nawashangaa vijana wenye nguvu na akili bado wanashabikia CCM as if hawana namna nyingine ya kuchumia tumbo lao ila sina mada hio kwa sasa zaidi ya kutaka kuweka historia hapa kuomba wafuatao niwashawishi kufanya endorsement kwa Dr. Slaa ijapokuwa sio utamaduni wetu.

Kama una kiongozi yeyote wa CCM ambae unahisi yupo nasi weka jina lake hapa tafadhali na ikiwezekana kama kuna mtu yuko karibu nao apeleke ujumbe huu. Tunahitaji indorsement yao katika mda huu na historia itawakumbuka. Mkapa alikuwa objective leader (i am sorry lakini ndivyo ninavyoamini ijapokuwa blanders amefanya), akifanya hivyi historia itamuona na huenda akasamehewa na watz wengi.

I cant see the future of this nation any more!
  1. Salim Ahmed Salim
  2. Jaji Joseph Warioba
  3. Joseph Butiku
  4. Benjamin W. Mkapa
  5. Philip Mangula
  6. Rais Karume!!!!
 
Back
Top Bottom