tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
SenegalKura yako unaipleka taifa gani kwenye michuani ya CHAN mdau wa JF?
View attachment 3438356
Soma pia: Bado siku chache mno CHAN kuanza lakini Tanzania imepoa, hakuna promo yakutosha, mji haujapendeza kuvutia wageni
πππItaly asee, kwa sasa wamepika timu ya vijana hatari sana. Hakuna nchi Afrika inaweza kuwatoa kwakweli.
Naunga mkono hojaAlgeria bingwa