Taifa halina budi kumuandaa Magufuli Mpya



Hata Wajerumani kuna wakati walitaka Hitler mwingine arudi ujerumani.
 
... itoshe kumshukuru Mungu wa Mbinguni kwa matendo yake makuu! Taifa lilishaelekezwa kibla kama sio Mungu kuingilia tulikuwa tunaelekea pabaya.
Taifa lipo safarini ,Taifa lina dira na Taifa litafika nchi ya ahadi!
 
Si tunao Makonda na Ole Sabaya? Mrisho Gambo kiaina kama amevuta hand break amepiga uturn.
 
JPM mwenyewe alikiri kutokuandaliwa wala kujiandaa kuwa kiongozi.

Sasa mtoa mada zitatumika mbinu zipi kumuandaa huyo mtu?

Binafsi niseme kuwa watu wenye ushamba wa uongozi wako wengi sana.

Na wanaweza kuperform kuliko hata alivyoperform JPM.

Ni ubishi, kujimwambafy na kukurupuka tu, baas!
 
Tusi-underestimate state machineries....we are are perfectly on the right track
 
Sera za Magufuli zinaweza kurudi. Ila zikirudi nchi lazima itawekewa vikwazo. Tena vikwazo hivyo vitagusa wakubwa wengi ambao watafanya mbinu kumtoa huyo Rais madarakani.
Wakubwa kama akina nani?

Nani kakuambia Rais anatolewa na wakubwa?

Hakuna cha wakubwa wala nini
 
Mbona itatokea tena soon tu? Wait[emoji23]
 
Jpm og system ilipita nae huyu wa kwenu mnaemuandaa tutapita nae cc wananchi.
Watu wanatapa tapa sana[emoji23][emoji23][emoji23] eti sisitim ilipita naye, ukiuliza hata maana ya sisitim haijui[emoji23][emoji23] atakuambia mfumo[emoji23][emoji23][emoji23].

Usiongee usichojua, yaani upo mbali na ukweli kwa asilimia 100.

Umeshindwa hata kuukaribia ukweli kidogo[emoji23]
 
Tanzania hatutaki tena aje atokee kiongozi MFITINI, mbaguzi, mwizi na MWONGO kama Magufuli.

Mungu aliipenda sana Nchi yetu ndiyo maana akampeleka jehanam Magufuli siku chache tu baada ya kuiba kura za uchaguzi wa mwaka 2020.

Kamwe hatatokea HAYAWANI na FEDHULI mwingine kama Magufuli
 

Mukamuandaee huko Uganda sio Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…