Ukiwa cheti fake unaishi ukiwa fake [emoji3447] brain.Hatutaki tena kuona watu wanatupwa baharini wakiwa wamefungwa kwenye mifuko ya sandarusi na kushindiliwa na mawe ili wasitokee juu ya maji/waasiibuke.
Jambazi haandaliwi, ujambazi ni laana na ye yote atakayezuka atakufa kifo kibaya kuliko dikteta Magufuli!Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.
Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.
hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.
Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Magufuli mpya ni Pole Pole, kwa sasa ndio tunamuandaa!Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.
Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.
hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.
Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mbona dikteta Magufuli hajafa kifo kibaya?Jambazi haandaliwi, ujambazi ni laana na ye yote atakayezuka atakufa kifo kibaya kuliko dikteta Magufuli!
Kwa wezi na wapiga deal (dili).SSH akikamilsha katiba hana mpinzani!
Kwa hiyo tunakubaliana Magufuli alikuwa muuaji?Mbona dikteta Magufuli hajafa kifo kibaya? Tena mpaka aliomba upako. [emoji23][emoji23] wewe ni jipu?(sorry kwa swali)
Tuambie jambazi na muuaji anaandaliwa vipi? Labda azaliwe shetani!Kuwa serious kidogo
*Stupidity accusation without substantial evidence as compared to the current regime that is marred with all sort of treacherous,Hatutaki tena kuona watu wanatupwa baharini wakiwa wamefungwa kwenye mifuko ya sandarusi na kushindiliwa na mawe ili wasitokee juu ya maji/waasiibuke.
Baseless vp na kweli maiti zilikuwa zikiokotwa na kuzikwa bila uchunguzi wowote kufanywa au kwa sababu wewe hayakukufika hujali, kila ikifika tarehe hii tutamkubuka jamaa kwa ukatili wake dhidi ya binaadamu.baseless accusations!
Ni kweli alikuwa na mabaya ila mema yalizidi. Leo mitandao imefurika kum post Jiwe. Aisee jamaa alikuwa bonge la Rais mwenye IQ kubwa.
Sabaya na Makonda wapo,Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.
Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.
hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.
Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Akina Bashite ,Sabaya aliowatengeneza walikuwa watu wazuri?*Stupidity accusation without substantial evidence as compared to the current regime that is marred with all sort of treacherous, vengeance and transgressions conduct shielding itself behind democratic approach which hitherto does not add up with authenticity.
Whether you like or not he shall be brought to eliminate all the hooligans and build up a harmonious state hurling all the gluttonous individuals amassing wealth amid silenced critics
Ukiwa cheti fake unaishi ukiwa fake [emoji3447] brain.
Labda John HecheTukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.
Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.
hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.
Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hawa watu huwaelewi angekuwa ni mzee wake kaokotwa kwenye kiroba huko baharini asingekaa ataje jina lake kamweBaseless vp na kweli maiti zilikuwa zikiokotwa na kuzikwa bila uchunguzi wowote kufanywa au kwa sababu wewe hayakukufika hujali, kila ikifika tarehe hii tutamkubuka jamaa kwa ukatili wake dhidi ya binaadamu.
IQ kubwa ya kutupa maiti kwenye viroba.Ni kweli alikuwa na mabaya ila mema yalizidi. Leo mitandao imefurika kum post Jiwe. Aisee jamaa alikuwa bonge la Rais mwenye IQ kubwa.