Taifa halina budi kumuandaa Magufuli Mpya

Magufuli ni masihi alisema amekuja kuandaa njia yupo anaye kuja.
Kwa Nini asiwe Mtume Mohamad aliyejenga himaya inayoutikisa ulimwengu wa dhulma mpaka Leo.
Kila jambo mnapenda kuliingiza kwenye Ukristo ba kuupaka matope kama Zumaridi japo hakuwa mkristo lakini anamtaja Yesu na sio Mtume Mohamad Kwa kuhofia kikatwa kichwa.

Hakuna Kiongozi Bora kwenye katiba mbovu.
Ni genge la wahuni TU wanaachiana nafasi za kuneemesha jamaa zao na marafik.
 
Pumbavu kabisa!!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…