mwenyenacho
Member
- Sep 23, 2013
- 86
- 65
Nikiangalia ktk teuzi Magufuli alikua anajitahidi sana na utaona alikua anateua mtu akitaka matokeo flani ktk kutimiza vision zake ktk kuliletea Taifa maendeleo.
Kuna watu unaona kabisa alikua akiwaandaa au kuwapa teuz flani ili wafit sehemu flani. Tukija huku unaona kuna safu ya kusifu na kuabudu inatengenezwa.
Magufuli alikua akikukula kichwa anakuchana live na jamii inaelewa y kaliwa kichwa. Huku jamii inaona ni mwendo wa fadhira na kuunda team. Leo tunajadili Push gang wameliwa vichwa mara msoga kaula.Yaani taifa liko kwenye ushabiki wa uteam.
Anatolewa Kalemani anawekwa Makamba, taifa linawaza team sukuma na msoga nani mbabe 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼Anatolewa Lukuvi anawekwa mabula hoja ni sukuma gang ilikua inajiandaa 2025. Huwez ona sababu za mcng zinatolewa ktk teuzi yyt ile, huoni connection yyt ya mteule na nafasi yake.
Tuko busy kujadili upumbavu wa sukuma gang wanaumia 😢😢😢😢😢Taifa halina maono ya maendeleo zaidi ya nani kaumia nani kafurahi.