Taifa halitaendelea kwa masomo haya

Taifa halitaendelea kwa masomo haya

mutisya mutambu

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
208
Reaction score
82
Leo nikiwa ndani ya daladala asubuhi akaja dogo dent akaketi siti ya pembeni muda kidogo katoa daftari na kuanza kupitia notice nadhani alikuwa anaelekea kwenye paper ile asubuhi...sasa na mi nikapiga chabo kidogo kilichomo ndani ya notice..ee bwana ehe...types of wines,procedures of serving dinner to customers...etc yote yakionesha dogo anasoma mambo ya hotel.. .hapo najiuliza sasa mbona hivi vyuo vimekuwa vingi sana sasa na vyote ni hotel,ba,tourism hivi huku ndiko tulikoona kutatoa jamani!!! Ule mwelekeo wa siku za nyuma ambapo mtoto akishindwa kufaulu wazo la kwanza lilikuwa vyuo vya ufundi kama cherehani,ufundi magari,umeme,useremali,ujenzi kwa nini tumeuacha huo na kukimbilia huku ambako hata ukimaliza bado shida unayo ya kutembea na bahasha kwenye migahawa ya wahindi kuomba kazi...nadhani kama taifa tubadilike sasa..tunaelekea shimoni kwa kuhamasisha hizi kozi za utumwa huko mbele na si kujituma......tukumbuke tulipochepukia turudi hapo tuendelee njia kuu...tuendako hakuna kitu tunapotea.
Karibuni wachangiaji kwa hoja
 
Hongera sana mtoa mada maana kiukweli hizi coarse zmekuwa zkitangazwa sana na hazna kujiajiri.
 
hapo wakulaumiwa nani? Mbona vocational trainings zipo?? Tatizo ni vijana tunaogopa au kudharau mambo ya ufundi.
 
Leo nikiwa ndani ya daladala asubuhi akaja dogo dent akaketi siti ya pembeni muda kidogo katoa daftari na kuanza kupitia notice nadhani alikuwa anaelekea kwenye paper ile asubuhi...sasa na mi nikapiga chabo kidogo kilichomo ndani ya notice..ee bwana ehe...types of wines,procedures of serving dinner to customers...etc yote yakionesha dogo anasoma mambo ya hotel.. .hapo najiuliza sasa mbona hivi vyuo vimekuwa vingi sana sasa na vyote ni hotel,ba,tourism hivi huku ndiko tulikoona kutatoa jamani!!! Ule mwelekeo wa siku za nyuma ambapo mtoto akishindwa kufaulu wazo la kwanza lilikuwa vyuo vya ufundi kama cherehani,ufundi magari,umeme,useremali,ujenzi kwa nini tumeuacha huo na kukimbilia huku ambako hata ukimaliza bado shida unayo ya kutembea na bahasha kwenye migahawa ya wahindi kuomba kazi...nadhani kama taifa tubadilike sasa..tunaelekea shimoni kwa kuhamasisha hizi kozi za utumwa huko mbele na si kujituma......tukumbuke tulipochepukia turudi hapo tuendelee njia kuu...tuendako hakuna kitu tunapotea.
Karibuni wachangiaji kwa hoja

kesho ukipanda gari lingine utawaona wa gereji.
Ukitaka kuwaona wanafunzi wanaojifunza ufundi wa kushona nguo (maarufu kama fundi cherehani), nenda mtaani kwa mafundi cherehani, kila mmoja ana wanafunzi wake! Pale utakuta wanafunzi wanafuzu vizuri bila ya 'course work'.
 
Ni ukweli kabsa vjana tuache kudharau ufundi mdogo wangu kasoma hotel management anahangaika tu ajira hakuna
 
Leo nikiwa ndani ya daladala asubuhi akaja dogo dent akaketi siti ya pembeni muda kidogo katoa daftari na kuanza kupitia notice nadhani alikuwa anaelekea kwenye paper ile asubuhi...sasa na mi nikapiga chabo kidogo kilichomo ndani ya notice..ee bwana ehe...types of wines,procedures of serving dinner to customers...etc yote yakionesha dogo anasoma mambo ya hotel.. .hapo najiuliza sasa mbona hivi vyuo vimekuwa vingi sana sasa na vyote ni hotel,ba,tourism hivi huku ndiko tulikoona kutatoa jamani!!! Ule mwelekeo wa siku za nyuma ambapo mtoto akishindwa kufaulu wazo la kwanza lilikuwa vyuo vya ufundi kama cherehani,ufundi magari,umeme,useremali,ujenzi kwa nini tumeuacha huo na kukimbilia huku ambako hata ukimaliza bado shida unayo ya kutembea na bahasha kwenye migahawa ya wahindi kuomba kazi...nadhani kama taifa tubadilike sasa..tunaelekea shimoni kwa kuhamasisha hizi kozi za utumwa huko mbele na si kujituma......tukumbuke tulipochepukia turudi hapo tuendelee njia kuu...tuendako hakuna kitu tunapotea.
Karibuni wachangiaji kwa hoja

Kila MTU ana choices zake katika maisha....

duniani tunaishi kwakutegemeana kitaaluma....

huwezi jua huyo anamalengo gani.....

Fanya au sumbukia yanayokuhusu.......
 
Mbona unafura ndugu kama wali wa amira? Na we una chuo nini cha kufundisha mapishi na aina za vinywaji..vijana wana nguvu za kufanya kazi za maendeleo lakini kwa uroho wenu wa pesa mnawafundisha mambo yasiyoweza kututoa hapa tulipo kiuchumi....namna ya kupokea wageni!...namna ya kuweka chakula mezani!...uanze kushoto kwenda kulia unavopakua!...haya mambo jamani ni taaluma nayo...ANGALIA KWA MFANO masomo ya ujasiriamali yanayoendelea mitaani kwa gharama kidogo lakini yanavyowasaidia kina mama na jamii iliyochini uchumi wao unabadilika....kuliko hao waongoza wageni!!! Hata hili halionekani ndugu
 
Kila MTU ana choices zake katika maisha....

duniani tunaishi kwakutegemeana kitaaluma....

huwezi jua huyo anamalengo gani.....

Fanya au sumbukia yanayokuhusu.......

bro nahc hujali mwelekeo wa taifa hil ambapo matokeo yake n aslmia kubwa ya vijana kuwa na taaluma hyo pacpo ajira asume watt wako wote wakisoma kozi hiyo.... eti wana malengo jiulize kinafuata nn
 
Leo nikiwa ndani ya daladala asubuhi akaja dogo dent akaketi siti ya pembeni muda kidogo katoa daftari na kuanza kupitia notice nadhani alikuwa anaelekea kwenye paper ile asubuhi...sasa na mi nikapiga chabo kidogo kilichomo ndani ya notice..ee bwana ehe...types of wines,procedures of serving dinner to customers...etc yote yakionesha dogo anasoma mambo ya hotel.. .hapo najiuliza sasa mbona hivi vyuo vimekuwa vingi sana sasa na vyote ni hotel,ba,tourism hivi huku ndiko tulikoona kutatoa jamani!!! Ule mwelekeo wa siku za nyuma ambapo mtoto akishindwa kufaulu wazo la kwanza lilikuwa vyuo vya ufundi kama cherehani,ufundi magari,umeme,useremali,ujenzi kwa nini tumeuacha huo na kukimbilia huku ambako hata ukimaliza bado shida unayo ya kutembea na bahasha kwenye migahawa ya wahindi kuomba kazi...nadhani kama taifa tubadilike sasa..tunaelekea shimoni kwa kuhamasisha hizi kozi za utumwa huko mbele na si kujituma......tukumbuke tulipochepukia turudi hapo tuendelee njia kuu...tuendako hakuna kitu tunapotea.
Karibuni wachangiaji kwa hoja
Asante mkuu somo limeeleweka!:angry:
 
Mtoa mada kama nimekuelewa vizuri umekutana na denti mmoja tu, lakini umekata tamaa kuwa elimu ya ufndi imetupwa. Hapana bado ipo, nadhani kila mkoa kuna veta na vyuo vingi vya ufundi hasa vinavyoendeshwa na taasisi za kidini.

Ni muhimu pia kutambua kuwa uchumi wa nchi na dunia unabadilika kwa kwa kasi na hivi sasa hospitality industry imeshika kasi. Kila mahali na kila kona hoteli na lodges zinafunguliwa na zinahitaji wafanyakazi.

So naona kwa sasa acha watu wasome kila wanachoweza/wanachotaka (kuptia private sector) lakini kama nchi lazima tutilie mkazo kwenye maeneo strategic ya kielimu.
 
Back
Top Bottom