Taifa hili linatisha sana katika nyanja ya usalama

USALAMA WA KUILINDA CCM ISITOKE MADARAKANI?

USALAMA WA KUMLINDA NA KUMTETEA RAIS HATA KAMA AKIKOSEA?, NAMPENDA SANA MAGUFULI, ILA NINACHUKIZWA SANA NA MAAMUZI YAKE YA KUITIA HASARA TAIFA, MFANO:.

KUTUMIA PESA KUNUNUA WABUNGE NA MADIWANI WA CHADEMA.

USALAMA WAMESHINDWA KUMSHAURI ISSUE YA KOROSHO NA CORONA!! BAADA YA AIBU WAMEANZA VITISHO!

VETTING YA USALAMA NDIO INAWAPA VYEO KINA JERRY MURO KISA WANAMTUKANA MBOWE. WANA CCM WENYE AKILI NA WASOMI WAMEACHWA KISA HAWAJUI KUTUKANA.

USALAMA NDIO ULIOMSHAURI MAGUFULI AWADHARAU NA KUWADHALILISHA KINA MAKAMBA, KINANA N.K, YAANI WATU WALIOKESHA KUFANIKISHA GOLI LA MKONO LEO HAWANA MAANA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbafu kabisa nyie,mmekomaa na upinzani mmeacha maendeleo ya nchi yakielekea harijojo.
Wewe TumainiEl damu ya TL inakuita kwanza,katubu kwanza.TL mzimaaa
 

Sawa ila mbona hii nchi inaangamia?. Huu usalama complex uko wapi au unamnufaisha nani?
 
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia Mambosisi kamwambia Kondakta kwa utulivu kabisa kuwa bado anatafuta machozi ya samaki walioamua kujiweka karantini wenyewe?!eti hadi sasa sijapata chozi hata moja mkuu inawezekana yapo kina kirefu huko!😂
 
Nchi ambayo inashindwa kuwapatia raia wake sukari ya kutosha inajivunia kitu gani zaidi?
 
Tunashukuru Magufuli kwa kuhakikisha Watanzania wapo salama

Ila kama akituhakikishia zaidi Usalama wa walipo akina Ben Saanane na Azory Gwanda ndipo tutaamini kuwa anatulinda hasa.
 
Hamna lolote Tiss Ni ka mesenja .Ingekuwa imo vizuri watanzania wangekuwa chini ya Mhutu? Bipolar disorder and conman.
 
Kuna aliyeelewa chochote hapa? Mtu ambaye hajui hata kupangilia vizuri maneno anawezaje kuwa jasusi anayejua siri nzito za nchi. Wewe ukijiunga TISS utapewa tenda za kujifanya kichaa na huwezi kuwa na siri za ngazi ya taifa.
 
Kigogo ni Ghost mkuu na sio mtu kabisa,Sirikali imejaribu kukamata karibu vijana wote waliokuwa wanahisi ni kigogo lakini wapi bila bila na washasalimu amri,nimeona hadi M-Uvccm ameomba mashirika ya kimataifa yawasaidie kumpata kigogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na kama atakuwa ni binadamu basi ni Super genius viwango vya akina Osama bin Laden

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…