Taifa hili linatisha sana katika nyanja ya usalama

Ujasusi wa kupima Papai, Mbuzi Fenesi na kujua kwamba vyote vina Corona wakati Dunia nzima haijui.
 
Tunataka Rais ambaye hatalaumu wengine bali atafanya kwa sehemu yake. Rais anayelaumu wengine kikawaida hapendi kulaumiwa. Yeye hutaka aonekane ni bora wakati sio bora. Kikawaida hata mtu anayependa kulaumu wengine hupenda kujisafisha ili hata yeye akikosea ionekane yeye anaafadhali. Tunataka Rais anayeleta maendeleo na sio kila kitu kulaumu watu wengine. Huyo hatufai kwani hatutafika popote. Rais anayelaumu wengine hajui majukumu yake, jukumu la Rais sio kulaumu wengine bali kuondoa lawama, kumaanisha Rais ndiye hupaswa kulaumiwa hivyo ni jukumu lake kuondoa lawama. Sasa ikiwa Rais atakuwa analaumu wengine, je nani wakuondoa hizo lawama?
 
Lawama kibao Rais kaziondoa. Tukianza na wafanyakazi hewa, ameondoa dharau makazini, ulipaji kodi umeimarishwa, ameondoa lawama za ugomvi kati ya wafugaji na wakulima...
Rais kaondoa lawama nyingi. Wewe ndiye hauoni namna Rais anavyoondoa lawama, na ni kwa manufaa yako binafsi nadhani ndiyo maana umeshilia msimamo huo. Pole sana.
 
Usalama unaowapa uhuru wala rushwa na madikteta uhuru wa habari na kujieleza na kukandamiza wananchi na uhuru wao ni sawa na usalama unaotaka kutufanya watumwa kuacha
 
Humu kuna watu hata wakiyaona mavi ya fulani, wanayasifia hahahahahahahahahahahahah.....nzi wa kijani hamna kitu kichwani..
 
Korona itakapoanza kula jeshi letu ndio tutajua vizuri nini maana ya covid19.
 
Tanzania nchi ya "washamba" mgeni anakuwa kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…