SoC04 Taifa la Kesho

SoC04 Taifa la Kesho

Tanzania Tuitakayo competition threads

Dist Stones

New Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
1
Reaction score
1
TAIFA LA KESHO

Nchi yangu Tanzania naipenda kwa moyo wangu wote , sitakusahau Tanzania nitakapokuwa popote duniani . Tulipotoka ni mbali sana na bado tunasonga mbele. Najivunia amani, umoja na upendo hii ni fahari ya nchi yangu. Pamoja na hayo bado tunahitaji mabadiliko makubwa sana ili tuweze kupiga hatua tupate tumaini lililothabiti. Tanzania tunayoihitaji inabidi iwe na mambo yafuatayo:-

SEKTA YA ULINZI NA USALAMA

Polisi

Jeshi la polisi libadilishwe kutoka kuwa Tanzania police force liwe Tanzania Police Service ili kuwapa askari polisi uelewa kuwa jukumu lao kubwa ni kutoa huduma kwa wananchi maana askari polisi wamesahau jukumu lao kuu la kulinda raia na mali zao badala yake wametengeneza uadui mkubwa na raia ambao kimsingi ndio jukumu lao kuwalinda. Ni kawaida kuona askari wa polisi wanapiga watu au wanatawanya na kuharibu mali za raia wakati wa ukamataji au upekuzi. Tunahitaji jeshi la polisi la kisasa ambalo litakuwa linatumia teknolojia katika shughuli zake ili kurahisisha shughuli za kiupelelezi na uchunguzi.Tunahitaji jeshi ambalo litafuata sheria na taratibu zilizowekwa.

Magereza

Lile wazo la gereza kuwa ni chuo ni la msingi sana.Naishauri serikali iongeze bajeti katkika kuhakikisha wafungwa wanapata elimu, ujuzi na huduma bora. Kuna wafungwa wenye ujuzi wa fani mbali mbali hawa kwa kushirikiana na wataalamu wa serikali wa fani mbali mbali wanaweza kutumika kuwapa ujuzi ambao hawana ujuzi lakini sio hivyo tu ujuzi huo utumike Katika uzalishaji uingize kipato ambacho mwisho wa siku kuwepo na utaratibu wa kuweka asilimia fulani ya malipo kwa kile mfungwa anachozalisha ili hawa watu wanapotoka wawe na ujuzi lakini wawe na kiasi fulani cha mtaji, hii itasaidia kupunguza wizi na vibaka katika mazingira yetu. Si hivyo tu , kule magerezani kuna watu wanahitaji sana maombi, huduma ya kiroho na elimu , hawa pia wanapaswa kufikiwa.

SEKTA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Ili kusonga mbele kwenye sayansi na teknolojia serikali haina budi kuanzisha kampeni ya kutafuta watu wenye ujuzi na vipaji katika uvumbuzi wa mambo mbali mbali ya kisayansi na teknolojia kwani ukweli ni kwamba mitaani na vijijini kuna watu wenye vipaji na ujuzi kuzidi hata hao maprofesa hivyo basi kitendo cha serikali kuwakusanya na kuanzisha mradi mkubwa wa kuwawezesha ni kuipeleka Tanzania kimataifa katika sekta ya sayansi na teknolojia.

SEKTA YA ELIMU, AFYA NA MAZINGIRA

Elimu

Elimu yetu ni elimu tuliyoachiwa na mkoloni na inatudumaza kwani inatutengeneza kuwa tegemezi na sio kujitegemea. Tunahitaji sana elimu ya vitendo kuanzia ngazi za chini za elimu hadi juu na sio elimu za nadharia ambazo hazina msaada sana katika suala zima la uzalishaji na kujitegemea.

Afya

Afya ni kitu cha msingi sana kwa binadamu, kwa kulitambua hilo serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatoa huduma ya afya bure kwa raia wake wote.Ninashauri serikali itoe huduma hii bure angalau kwa wazee na watu wanaoishi katika mazingira magumu kwani ukweli ni kwamba kuna watu wa hali ya chini wasiojiweza wanapoteza maisha kwa kukosa pesa ndogo tu ya matibabu.

Mazingira

Hii ni sehemu muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku , hapa ninazungumzia suala la takataka na athari zake katika mazingira. Baadhi ya maeneo hususani ya mkoa wa Dar es salaam yana mazingira machafu sana hii kutokana na takataka kutozolewa kwa mda mrefu na wahusika wenye zabuni ya kazi hiyo. Nina shauri zabuni wapewe watu wenye uwezo mkubwa na uzoefu wa shughuli za uzoaji takataka katika miji na majiji na sio kutoa zabuni kwa misingi ya kujuana au misingi ya kisiasa kwani uchafu wa mazingira unahatarisha afya za wakazi.

SEKTA YA NISHATI

Hii ni sehemu nyeti sana na yenye shida sana hapa nchini. Serikali inafanya juhudi sana kuwekeza mabilioni ya fedha katika umeme wa maji. Kimsingi umeme huu athari zake zinaweza kuwa mkubwa kuliko faida zake hii ni kutokana na ukweli kwamba chanzo hiki sio endelevu na kinaathirjwa sana na mabadiliko ya tabia nchi na hali ya hewa. Pia kunaweza kuwa na athari mkubwa sana kama kutakuwa na mvua kubwa amabazo zinaweza kusababisha mafuriko kwa mfano kijiografia ya bwawa la Mwalimu Nyerere ni hatari kwa wakazi wa Rufiji endapo kutatokea mvua kubwa. Ninashauri serikali iweke kipaumbele katika umeme wa jua na gesi asilia , hivi ni vyanzo ambavyo vinatumiwa na nchi za Ulaya na Asia na vina msaada mkubwa katika sekta ya nishati na gesi asili tunayo Kilwa na Mtwara kama itatumika ipasavyo basi changamoto ya nishati ya umeme itakuwa historia.

SEKTA YA UONGOZI NA UTAWALA

Ni lazima kuwe na mgawanyo wa kimadaraka (separation of power) baina ya mihimili ya serikali yaani Bunge, Mahakama na Baraza la Mawaziri. Bunge linatakiwa kuwa na nguvu ya kuhoji na mawaziri wasiwe miongoni mwa wabunge waajiriwe wataalamu ili wabunge wawe na nguvu kamili ya kuhoji na kutoa hoja za maendeleo. Pia wakurugenzi, wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa nafasi hizi zitangazwe kama kazi nyingine ili mwenye sifa apate kazi. Ninapendekeza ofisi ya Rais ifanyiwe ukaguzi na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kama zinavyokaguliwa ofisi zingine za umma kwanini ofisi ya Rais isikagulwe? Pia Rais aondolewe kinga dhidi ya makosa ya jinai akiwa madarakani na akitoka madarakani kwasababu hakuna aliye juu ya sheria. Tunahitaji mahakama yenye nguvu hata ya kumtoa Rais madarakani akienda kinyume na katiba ya nchi na Jaji mkuu asiteuliwe na Rais maana hii itamfanya kuwa kibaraka.

Hitimisho, Kiujumla hayo yote yatawezekana endapo kutakuwa na kiongozu makini na mzalendo ambaye atabeba jukumu la kulikomboa taifa na kupiga hatua mbele ijapokuwa hapa tulipo ni mbali na nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sijapongeza juhudi za viongozi wetu wote wa Tanzania kwani tulipo sipo tulipokuwepo ni hatua kubwa sana tuliyifikia na tunahitaji mabadiliko zaidi.
 
Upvote 5
TAIFA LA KESHO

Nchi yangu Tanzania naipenda kwa moyo wangu wote , sitakusahau Tanzania nitakapokuwa popote duniani . Tulipotoka ni mbali sana na bado tunasonga mbele. Najivunia amani, umoja na upendo hii ni fahari ya nchi yangu. Pamoja na hayo bado tunahitaji mabadiliko makubwa sana ili tuweze kupiga hatua tupate tumaini lililothabiti. Tanzania tunayoihitaji inabidi iwe na mambo yafuatayo:-

SEKTA YA ULINZI NA USALAMA

Polisi

Jeshi la polisi libadilishwe kutoka kuwa Tanzania police force liwe Tanzania Police Service ili kuwapa askari polisi uelewa kuwa jukumu lao kubwa ni kutoa huduma kwa wananchi maana askari polisi wamesahau jukumu lao kuu la kulinda raia na mali zao badala yake wametengeneza uadui mkubwa na raia ambao kimsingi ndio jukumu lao kuwalinda. Ni kawaida kuona askari wa polisi wanapiga watu au wanatawanya na kuharibu mali za raia wakati wa ukamataji au upekuzi. Tunahitaji jeshi la polisi la kisasa ambalo litakuwa linatumia teknolojia katika shughuli zake ili kurahisisha shughuli za kiupelelezi na uchunguzi.Tunahitaji jeshi ambalo litafuata sheria na taratibu zilizowekwa.

Magereza

Lile wazo la gereza kuwa ni chuo ni la msingi sana.Naishauri serikali iongeze bajeti katkika kuhakikisha wafungwa wanapata elimu, ujuzi na huduma bora. Kuna wafungwa wenye ujuzi wa fani mbali mbali hawa kwa kushirikiana na wataalamu wa serikali wa fani mbali mbali wanaweza kutumika kuwapa ujuzi ambao hawana ujuzi lakini sio hivyo tu ujuzi huo utumike Katika uzalishaji uingize kipato ambacho mwisho wa siku kuwepo na utaratibu wa kuweka asilimia fulani ya malipo kwa kile mfungwa anachozalisha ili hawa watu wanapotoka wawe na ujuzi lakini wawe na kiasi fulani cha mtaji, hii itasaidia kupunguza wizi na vibaka katika mazingira yetu. Si hivyo tu , kule magerezani kuna watu wanahitaji sana maombi, huduma ya kiroho na elimu , hawa pia wanapaswa kufikiwa.

SEKTA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Ili kusonga mbele kwenye sayansi na teknolojia serikali haina budi kuanzisha kampeni ya kutafuta watu wenye ujuzi na vipaji katika uvumbuzi wa mambo mbali mbali ya kisayansi na teknolojia kwani ukweli ni kwamba mitaani na vijijini kuna watu wenye vipaji na ujuzi kuzidi hata hao maprofesa hivyo basi kitendo cha serikali kuwakusanya na kuanzisha mradi mkubwa wa kuwawezesha ni kuipeleka Tanzania kimataifa katika sekta ya sayansi na teknolojia.

SEKTA YA ELIMU, AFYA NA MAZINGIRA

Elimu

Elimu yetu ni elimu tuliyoachiwa na mkoloni na inatudumaza kwani inatutengeneza kuwa tegemezi na sio kujitegemea. Tunahitaji sana elimu ya vitendo kuanzia ngazi za chini za elimu hadi juu na sio elimu za nadharia ambazo hazina msaada sana katika suala zima la uzalishaji na kujitegemea.

Afya

Afya ni kitu cha msingi sana kwa binadamu, kwa kulitambua hilo serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatoa huduma ya afya bure kwa raia wake wote.Ninashauri serikali itoe huduma hii bure angalau kwa wazee na watu wanaoishi katika mazingira magumu kwani ukweli ni kwamba kuna watu wa hali ya chini wasiojiweza wanapoteza maisha kwa kukosa pesa ndogo tu ya matibabu.

Mazingira

Hii ni sehemu muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku , hapa ninazungumzia suala la takataka na athari zake katika mazingira. Baadhi ya maeneo hususani ya mkoa wa Dar es salaam yana mazingira machafu sana hii kutokana na takataka kutozolewa kwa mda mrefu na wahusika wenye zabuni ya kazi hiyo. Nina shauri zabuni wapewe watu wenye uwezo mkubwa na uzoefu wa shughuli za uzoaji takataka katika miji na majiji na sio kutoa zabuni kwa misingi ya kujuana au misingi ya kisiasa kwani uchafu wa mazingira unahatarisha afya za wakazi.

SEKTA YA NISHATI

Hii ni sehemu nyeti sana na yenye shida sana hapa nchini. Serikali inafanya juhudi sana kuwekeza mabilioni ya fedha katika umeme wa maji. Kimsingi umeme huu athari zake zinaweza kuwa mkubwa kuliko faida zake hii ni kutokana na ukweli kwamba chanzo hiki sio endelevu na kinaathirjwa sana na mabadiliko ya tabia nchi na hali ya hewa. Pia kunaweza kuwa na athari mkubwa sana kama kutakuwa na mvua kubwa amabazo zinaweza kusababisha mafuriko kwa mfano kijiografia ya bwawa la Mwalimu Nyerere ni hatari kwa wakazi wa Rufiji endapo kutatokea mvua kubwa. Ninashauri serikali iweke kipaumbele katika umeme wa jua na gesi asilia , hivi ni vyanzo ambavyo vinatumiwa na nchi za Ulaya na Asia na vina msaada mkubwa katika sekta ya nishati na gesi asili tunayo Kilwa na Mtwara kama itatumika ipasavyo basi changamoto ya nishati ya umeme itakuwa historia.

SEKTA YA UONGOZI NA UTAWALA

Ni lazima kuwe na mgawanyo wa kimadaraka (separation of power) baina ya mihimili ya serikali yaani Bunge,Mahakama na Baraza la Mawaziri. Bunge linatakiwa kuwa na nguvu ya kuhoji na mawaziri wasiwe miongoni mwa wabunge waajiriwe wataalamu ili wabunge wawe na nguvu kamili ya kuhoji na kutoa hoja za maendeleo. Pia wakurugenzi, wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa nafasi hizi zitangazwe kama kazi nyingine ili mwenye sifa apate kazi. Ninapendekeza ofisi ya Rais ifanyiwe ukaguzi na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kama zinavyokaguliwa ofisi zingine za umma kwanini ofisi ya Rais isikagulwe? Pia Rais aondolewe kinga dhidi ya makosa ya jinai akiwa madarakani na akitoka madarakani kwasababu hakuna aliye juu ya sheria. Tunahitaji mahakama yenye nguvu hata ya kumtoa Rais madarakani akienda kinyume na katiba ya nchi na Jaji mkuu asiteuliwe na Rais maana hii itamfanya kuwa kibaraka.

Hitimisho, Kiujumla hayo yote yatawezekana endapo kutakuwa na kiongozu

Hpo kwenye polisi umenena
 
Takataka ni kero sana
 
Tunahitaji mabadiliko ili tupate maendeleo
 
Tunataka haki na usawa
 
Back
Top Bottom