Taifa la kuiga mambo pasipo kutafakari

chachu

Senior Member
Joined
May 17, 2011
Posts
141
Reaction score
16
TAIFA LA KUIGA MAMBO BILA KUTAFAKARI.
Tumeanza mitihani ya multiple choice kwa shule za misingi kwa madai ya waziri kuwa wamejifunza kwa nchi za wenzetu,. je alitafanya tadhimini ya watu wa taifa lake ni wanamna gani....!? wenzetu wanapenda kujishughulisha na kujifikirisha ndio maana wanasonga mbele. Somo la hisabati ni somo la kumfanya na kumjenga mtu kuwa na uwezo wa kufikira tokea akiwa mdogo. Watanzania walivyo hawapendi kujifikirisha mitihani hiyo itajibiwa kwa kubashiri tu. Halikadhalika mkurugenzi wa mfuko wa jamii NSSF akitetea kusitishwa mafao alitoa mfano wa UINGEREZA.
MTU ANAESAIDIWA KUFIKIRI NI MTUMWA
NAWAKILISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…