Taifa langu Tukufu Tanzania

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Mungu akulinde Jamhuri yangu na watu wangu wa Tanzania.

Mungu Tukumbuke watoto wako na Uzao wa Taifa lako siku moja tusije kuwa manamba ktk Taifa letu. Baba yetu na Rais wetu wa kwanza aliona leo na akalia sana na kumbukizi zinatuambia akikaribia kuipumzisha roho yake akasema Anatuombe wa Tanzania.

Mungu upo mbinguni Mungu wa ma babu zetu walio mwaga damu kwa ajili ya uhuru wetu na mipaka yetu Mungu wangeta kujimilikisha Taifa Hili na mipaka yake wangemiliki na hakuna angewauliza ila walikuwa wazalendo hata umauti๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™

Mungu macho yako katika Jamuhuri ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ya watu wa Tanzania Mungu macho yako kwa wana Tanganyika Baba nalia ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ macho yako yawakumbuke watanganyika maana baba yao aliwaubiria umoja nakuacha laana wasipo taka umoja japo alisahau umoja huwo una lake jambo ikiwa mabadiliko makubwa hayatofanyika.

Mungu inua majemedari wa vita ktk majeshi yetu na vyombo vyetu vya usalama. Mungu inua watu majasiri watu wenye akili kubwa kulinda Taifa hili na mabadiliko makubwa yalio mbele ya dunia yetu.

Mungu wangu ilinde jamuhuri ya watu wa Tanzania Mungu usimuache mtu mwenye hila kuliongoza Taifa hili Mungu usiache watu wasio na jambo jipya kumfanyia Mam Tanzania kuliongoza Taifa hili.

Mungu tupe akili Watanzania kuunda Sheria na katiba ambayo Dunia itakuja kujifunza kwetu. Mungu tupe akili tengeneza Sheria na katiba ambayo hata nchi tukimpa shetani hatoweza kutuongoza ktk ushetani wake ila atauongoza kwa mujibu wa Sheria za jamuhuri yetu ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mungu upo mbinguni na umeona kile kinaendelea mioyoni mwao. Usiruhusu utajiri wetu na mali zetu kuwa Chakula cha wachache muone yule mtoto wa masikini kesho pia atakuwa Rais au waziri Mkuu Mungu mpe kukuta asali ya mama Tanzania na sio kibuyu tupu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Kesho yetu ipo mikononi mwako Mungu. Kesho yetu ina kuangalia wewe Mungu.

๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™๐Ÿ™
 
hivi Tanganyika ilidumu miaka 15 pekeyake ee!!

na kwahivyo ni kumaanisha
watanganyika wamebaki wachache sana halafu tayari jua kuzama na most of them ni pensioners ๐Ÿ’๐Ÿ’

waTanzania hawawezi waelewa kabisa ๐Ÿ’
 
Aikoooooo! Mimi namuulizaga mtoto wa mama mkwe ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ . kama hii nchi kuna watu wanaifanyia maombi wanafunga kabisa, na makongamano ya kuliombea taifa na kila kitu lakini still tupo hivi๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข, Natamani hili taifa lisiwe linaombewa ili tuone kitakacho endelea kuwepo๐Ÿ˜“๐Ÿ˜“ Akili zinaweza kurudi. Mnivumilie na mawazo yangu
 
Kuna nn komred?
Bado mnada wa kuuza rasilimali za Tanganyika unaendelea?
Huwezi mkabidhi mama wa kambo utajiri na watoto wa marehemu akulelee๐Ÿ‘Œ
Lazima atawasomesha namba๐Ÿค”
 
Wewe threads zako zote huwa unatabiri mabaya kuhusu Mama Tanzania

When you see something is out of ur control ,shukuru and stay humble
 
Mwenyezi Mungu wa Mbinguni mwenye Rehema sio tu hasikilizi Dua za Mtu Mwovu bali hata hizo dua na sala hazimfikii kabisa
 
Manyoko
Kama life limekupita na kukupiga hasa, utatafuta kila vijisababu
Hata mimi nikipita ile mitaa ya masaki mwisho kule, na kuona majumba na migahawa ya kishua, huwa roho inaniuma sana, naanza kumlaumu mdingi, halafu tena nakumbuka sio makosa yake hata yeye alikuwa na ndoto kama zangu, na sasa ndoto zangu zimetimia kwenye ulu ule umasikini, naamua kununua kipande cha muwa na kujiliwaza
If you were born in poverty, and you decide to bring another human being into this world, there is more than 99% chance, he or she will also be trapped in that vicious cycle of poverty
 
Maombi ni ujinga wa kujiliwaza tu.

Huyo Mungu kwanza hayupo.

Na ukiona unahitaji kuomba, huo nao ni uthibitisho Mungu hayupo.

Angekuwapo, angekupa unachohitaji kabla hujaomba. Asingekuwa mchoyo hivyo.
 
Hahaha sio kweli bwana
 
Wanaoomba wenyewe chawa wale Mungu hawezi poteza muda
 
Hivi,ulitueleza Ben Saanane yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ