Taifa lenye watu wenye fikra pevu limejengwa katika utamaduni wa kuheshimu na kukubali ukosoaji

IKUNGURU IJIRU CHUKU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2021
Posts
484
Reaction score
545
Taifa lenye watu wenye fikra pevu limejengwa katika utamaduni wa kuheshimu na kukubali ukosoaji wa aina yoyote ile, na si
usengenyaji.

Kuyaona madhaifu ya mwenzako na kumweleza yeye mwenyewe ni kumkosoa, lakini kwenda kuyaeleza
madhaifu hayo kwa wengine ni kumsengenya alisema Nyerere kupitia chapisho lake la Tujisahihishe.

CHADEMA kuikosoa serika wanaonekana ni wahalifu, wanaonwa ni magaidi, as if wao si watanzania,..Wito wangu kwa chama kinacho tawala, Tukubali kukosolewa ili tujirekebishe.
 
Ukiona hautaki/upendi kukosolewa jua bado haupo tayari kubadirika, na kama haupo tayari kubadirika tambua you're not matured enough
 
KESI YA MBOWE NA WENZAKE wenye UWEZO WAIANDIKIE KITABU IBAKI HISTORIA KWA VIZAZI VIJAVYO kuna Tulikuwa na Watendaji wa Aina hii kwenye Vyombo vya Kusimamia Sheria
 
CCM NI JANGA LA DUNIA KULIKO CORONA
 
Hata Polepole kasema Kukosoa ni Msingi wa Demokrasia na Ujamaa.
 
Ukiona hautaki/upendi kukosolewa jua bado haupo tayari kubadirika, na kama haupo tayari kubadirika tambua you're not matured enough
Mtu yeyote asiyependa uwazi na uwajibikaji ni Fisadi.
 
Wito wangu kwa chama kinacho tawala,
Tukubali kukosolewa ili tujirekebishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…