Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Hii ndoa unayo sema ni ya taifa lilikua ni Taifa la wapi? Uajemi au? Hao ndio kina nani? Mbona ndo tunawaona kwenye picha zilizopigwa kukiwa na mpiga picha akiwapiga picha wapigwa picha.
 
Reactions: Qwy
Angalia ulivyokua mjinga maswali ya wazazi yametoka wapi hii inaonyesha ulivyokua mjinga wa kukubuu

Mimi siwezi kukutukania wazazi wako sababu ntajiweka kundi moja na wajinga kama wewe
Nilikuwa naku prove kuhusu ujinga wangu... Tulia sasa
 
Taifa lisimame? Kuna watu asshole kweli aisee..!! Who the hell is he? Hv kumbe kuna watu akilimavi tupu
 
Mkuu wewe hujui tabia za watu!! hii avatar ni ya huyo huyo jamaa kabisaa!! anajipigia pande!! aone kama tunamjua.... au reaction yetu kwake itakuwaje kuuumbe ktk inner circle ya watu wake wa karibu ni mazombi tupu!!!

hakuna hata mmoja kutoka watu wake wa karibu anaeijua JF!! wengi wa rafikize ni washambawashamba tu!!! isipokuwa Mimi tu nimebakia kuwaleteeni taarifa hizi! si unaona hata slogan zake za ki-long- - ''eti taifa limesimama'' ndo nini sasa!!!

Ukifuatilia saana wana kiji utakuwa mwehu soon!!....
 
uswahilini kuna vituko.. hao kenge ndio kwanza nimewasikia leo
 
Kuna watu huwa mnaandika maneno ya busara kiupendo,kiupole na kwa lugha "nyenyekevu" mpaka rahaa.
Mungu akubariki binti kiziwi na wengine kama wewe muendelee kuwa hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…