Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!

Pompeo alishamaliza kazi,nafikiri wanavuta mda kwa hatua ya pili
 
Huyu jamaa aliyekuwa anaomba kipindu pindu kihamie ikulu nae ni wa kumwamini!
 
Mayalla, wewe na Lissu mnalingana?
Ona aibu mdogo wangu.
No mimi na Lissu, hatulingani, japo tulikuwa shule moja Ilboru, mimi nikiwa A level, Lissu alikuwa O-level hivyo kwa Lissu mimi ni Kaka yake, na yeye ni mdogo wangu.
Nimeisha mzungumza sana Lissu humu jf.
P
 
Kuhusu hawa wasiojulikana, kiukweli baadhi yetu tuliwahi kulisaidia sana tuu jeshi letu la polisi, ila basi tuu.

Hivyo hili swali Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

la jeshi letu la polisi ni hopeless ni swali very valid.
P
 
Hawa wasiojulikana wametusumbua Sana!. Kumbe baadhi yao ni hawa!.
P
 

Hili tukio la kifo cha huyu mzee, kwa mujibu wa taarifa za tukio lenyewe, mimi nimejiridhisha wahusika sio watu wasiojulikana, ni 'wasiojulikana'

Nashauri kwa negligence iliyofanywa na Jeshi letu la polisi kuhusu kadhia hii ya kifo cha Mzee Ali Mohamed Kibao, Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu , kukutwa ameuwawa na watu 'wasiojulikana' na mwili wake kutupwa eneo la Kunduchi Ununio, kwa kuanzia nashauri watu wwanne hawa wawajibike!.
1. Waziri - kwa ajali kazini
2. IGP - kwa negligence ya RPC wake
3. RPC -DSM - negligence
4. OCD Kinondoni - negligence, na hawa wawili wa mwisho RPC na OCD wanaweza kufikishwa kwa Pilato!.

Ni wakati sasa Rais Samia kukasirika kama enzi za Nyerere!.
P
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana,Paschal,kuwajibika hakupo, forget!

Lakini kwa tulipofika sasa,something drastic needs to happen,maana watu sasa tunajiuliza,who is next!?Roho za watu hazina thamani tena,tumekuwa kama kuku tu wakuchinjwa.Leo wakiamua huyu hakuna wa kupinga,inatisha sana.Hivi kuna haja ya serikali tena kweli,Bunge,Jeshi la Polisi au hata Jeshi la Usalama wa Taifa,sidhani.These it is clear now are all tools of oppression I am sorry to say.Yaani tumefika mahali sasa mkitofautiana na mtu kimawazo,solution ni kumuua,duh,It is a very sorry state of affairs indeed.Our nation is in a very dangerous path.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…