Taifa linapoteza mwelekeo kwa ukimya wetu wa kutodai Katiba ya Jaji Warioba

Mambo ya msingi lazima yaingizwe kwenye katiba kama elimu iwe lazima mtu kusoma.
haswa si sasa mikopo imekuwa ya kulenga na manati wakati aliahidi kutoa mikopo kwa wanafunzi wote.

imefadhiliwa serikali na katiba hii ni kwa maslahi mapana ya ccm
 
Katiba ya Warioba bado inamapungufu mengi sana mfano Waziri mwandamizi = Waziri Mkuu, Makamu wa kwanza wa Rais na wa pili, yote ya nini?
 
Tuanze upya maoni ya wananchi, mfano wananchi wengi walikuwa hawataki vyeo wa wakuu wa mikoa na wilaya.
 
Nia yake ni njema, aungwe mkono kwenye mambo ya msingi ili demockrasia ichukue mkondo wake, lakini kama anakosolewa kila anachokifanya, tutakwama hata kumshawishi hiyo katiba ya Warioba.
kukosolewa ni lazima maana ndio chujio la upande wa pili wa madudu uliofanya
 
Mungu ibariki Tanzania .
 
Tizama nashauri turudi kwenye agenda BABU badala y agenda MAMA tufanye maandamano nchi nzima
 
Mkuu mtaani tunaongea lazima kuwe na watu wanaoochukua sura ya kitaifa kama vyama vya siasa na taasisi zisizo za serikali.Kwenye vijiwe tunaongea sana tu na watu wanahitaji.Hivi nimi ningetangaza UKUTA polisi wangefanya mazoezi kiasi kile?
Tuwaunge mkono wanaothubutu na si kuwavunja nguvu. Kumbuka viongozi wetu wengi wa ki Africa hawapendi upinzani wa dhati
 
Katiba ya Warioba bado inamapungufu mengi sana mfano Waziri mwandamizi = Waziri Mkuu, Makamu wa kwanza wa Rais na wa pili, yote ya nini?
upungufu huu haukupewa naafasi ya refining maana muundo wa serikali uliopendekezwa na wananchi
 
kukosolewa ni lazima maana ndio chujio la upande wa pili wa madudu uliofanya
Naam! Akosolewe kwa hoja, lakini pia aungwe mkono kwa mambo mazuri, ili tutakapo idai katiba ya Warioba akatunyima, tunamjua ni msaliti.
 
JPM anafanya uhakiki mambo za katiba hana mda nayo
Kaz kazin
Uhakiki ni kazi ndogo chini ya Tume ya utumishi Tume ya Maji warioba iliona hili na kupendekeza kuwa chujio ... Tutengeneze taasisi...
 
Na hii ndio ilikuwa fursa ya pekee katika kudai katiba kutoka na ukandamizi huu,watanzania tu wajinga mno
 
Uhakiki ni kazi ndogo chini ya Tume ya utumishi Tume ya Maji warioba iliona hili na kupendekeza kuwa chujio ... Tutengeneze taasisi...
Jon..

Tanzania yetu hakuna umakin kweny mambo ya msingi KATIBA imekula kodi zetu af hakuna kilicho fanyika.

JPM hata afanyeje hawez kulisimamia Hilo swala la katiba..
Mana katiba ya sasa bado inaonesha kumlinda kwa baadhi ya vifungu na kuendelea kuikanyaga kabisa.

TANZANIA... katiba mpya mpaka dunia Igeuke iwe inazunguka toka EAST to WEST [emoji273]
 
MU

Usirudi nyuma yaliofanywa yamefanyika ili tukate tamaa kudai haki zetu za msingi , wanayafanya wakijua wengi hawana elimu na walio na elimu watarudi nyuma tuu ...
 
MU

Usirudi nyuma yaliofanywa yamefanyika ili tukate tamaa kudai haki zetu za msingi , wanayafanya wakijua wengi hawana elimu na walio na elimu watarudi nyuma tuu ...
Tunaenda kibabe sana this time.. Mambo hovyo sna kaka
 
Soma post vizuri uelewe ndo utoe maoni yako. Hii tabia ya watu kukurupuka kuandika comments za kishabiki naichukia sana. Jibu hoja kwa hoja
Hakuna hoja hapo kaka ni porojo tupu. Wewe kama unaona kuna hoja mjibu...Jamiiforums where we dare to talk openely.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…