Kadukua mpaka michepuko na picha za pilau😋😂Kijana wa it ni ambaye anapendwa na wakubwa ama anayejipendekeza.
Lazima awe ccm, Africa don't care about mental capacity energy adi uwalambe miguu viongozi ama uwe mtt wa kiongozi unapewa cheo fulani
https://www.facebook.com/
View:
Kamrudisha mhuni Tido Mhando amsaidie kwenye content kama alivyo edit interview na muuni mwenzake RostamWatu wanazima mitandao siku Sita. Wamefunga twitter, JF, Tiktok ne bado wao wanapost huko. Sijui wanatumia VPN? Unaona wana aklií za ziáda.
Wangekuwa na akili nzr.
Ndo wangekuwa tena active huko mitandaoni, mara moja Rais naye anatengeneza content kuendana na kizazi cha sasa.
Hawaoni Ruto anatengeneza content akiingia ikulu asubuhi akiwa kabeba kikombe cha chai?
Siku moja Samia anatengeneza content ya my daily life as president uone kama hasingefuatiliwa. Mnakumbuka ile video yuko jikoni anapika na kanga, ilivyoleta attention.
If you can't fight them join them.
Sasa yeye kaamua kutumia mabavu na mwishowe kuua watz.
Wacha kimlambe. Na hatatawala kwa amani
Mkuu tupe maelekezo hata kidogo video zinagoma wengine mbs zinakata!
Kama umeiangalia video tupe 1 na 2 najua hushindwi kiufupi tu tujue nini kinaendelea!Naona na kwangu inagoma
Ambazo ziko kwenye PC ya nani ivi , ama kweli ingekuwa haki inatamalakiKadukua mpaka michepuko na picha za pilau😋😂