Shayu
Platinum Member
- May 24, 2011
- 608
- 1,655
Nchi ni Organization kama Organization nyingine yeyote ufanisi wa nchi yeyote unategemea ufanisi wa element ambazo zinaunda taifa. Taifa lolote linaundwa na watu. Lakini kuendelea kwa taifa lolote kunategemea sana ni jinsi gani ambavyo wamejiorganize ili kupata maendeleo yao. Watu hawa lazima wawe wameunganishwa na malengo ya pamoja lazima wawe na mwelekeo wa pamoja. Kwahiyo kazi kubwa tuliyonayo kama tunataka kuendelea ni ku organize watu wetu na ku structure mifumo ya kijamii hatutaweza kuendelea kama hakuta kuwa na harmony katika mfumo. Ni lazima watu wetu wawe na akili moja. Mtu yeyote au kiongozi yoyote atakayeleta maendeleo yetu ni yule mwenye uwezo mkubwa wa ku organize watu na ku induce a common purpose. Kwahiyo ni lazima tuunde a well functional social framework tuanzie hapo kama tunataka kuendelea. Ni ukweli ya kwamba kama tukifikiria kuhusu ubinafsi tutagawanyika na yale malengo yetu ya pamoja ya kujenga taifa imara na lenye nguvu yataondoka. Hatutaweza kuendelea kiuchumi kama hatutajenga mfumo huu tutakuwa tunajidanganya ni lazima turudi kwenye jamii tujipange upya.
Kwa sasa hivi tunashuhudia katika taifa letu mfumo wa jamii ulioparaganyika na kama mfumo huu umeparaganyika taifa hili halitoweza kuendelea. Taifa lolote hujengwa katika mioyo na akili za watu na pia hubomolewa katika mioyo na akili za watu. Taifa sio majengo marefu ni lazima kwanza tuwekeze katika mioyo na akili za watu ili kupata nguvu kazi hodari na yenye uzalendo hii ni hatua ya kwanza kwa kiongozi yeyote mwenye akili, kuleta watu pamoja. Tusipojenga mahusiano yetu kama watu wa taifa moja ambao mwelekeo wao kama taifa ni mmoja hatutaendelea.
Kwahiyo kazi yetu ya sasa ni kuunda harmony and order katika akili na mioyo ya watu wetu kwa sababu bila hii taifa hili kama organization halitaweza kuendelea kwasababu kila element inayounda taifa hili ni lazima iwe imepangiliwa katika order na harmony ili ifanye kazi vizuri. Mitaa yetu, vijiji vyetu, wilaya yetu na mikoa yetu na taasisi zetu ni lazima ziwe well coordinated. Kutokuendelea kwetu sababu ni moja tu hatujajipanga. Hii nchi ni tajiri na kubwa kuliko unavyofikiria. Ni lazima tuondoe ubinafsi na tujenge utaifa. Tujue umuhimu wa familia na umuhimu wa jamii. Tukibomoa cohesiveness katika familia na katika jamii tumeua taifa. Hatutakuwa na taifa lenye order na kusipokuwepo na order tusahau kuhusu progress.
Wananchi wa taifa hili ni lazima tutambue hatuko taifa kusudi kila mtu a pursue his own interest without regarding the interest of the nation and the interest of the society, we are killing this nation. Tunaua tembo ambalo ni jukumu letu kuwalinda sababu ya uchu na ubinafsi, where is the justice? those tembo wanahitaji security, pamoja na raia wa taifa hili wanahitaji haki zao zilindwe. Njia tuliyochagua ni mbaya haitaleta furaha katika familia zetu, jamii wala taifa kwa ujumla. We are brothers, we are one nation na ni lazima tuwe na mwelekeo mmoja kama taifa kulinda na kujenga taasisi zetu ili ziwe endelevu na zinazofanya kazi kwa faida ya taifa kwa ujumla.
Taifa hili litajengwa katika mioyo na akili za watu na kama tutalibomoa tutalibomoa katika mioyo na akili za watu. Hatutajenga taifa hili pasipo kupandikiza mbegu ya uzalendo na umoja kwa vizazi vingi vijavyo . Our children must love this country, our attention must be on this country not anywhere else. We are responsible for our future. Tusipande mbegu ya mgawanyiko, tuache ubinafsi na wizi na tujenge taifa la watenda haki.
Pili tutambue kwamba katiba kama katiba haitoleta mabadiliko yeyote na tusiweke matumaini makubwa huko kama hatutakuwa na kiongozi ambaye atakuwa effective cause ya hiyo katiba ili hicho kilichoko kwenye katiba kije kuwa kitu halisia ndani ya jamii.
Katiba ni mould na ina reflect aina ya jamii itakayojengwa, ni blue print lakini tutambue pia bila viongozi wenye maadili mazuri hata tuwe na katiba nzuri kiasi gani hatutaweza kujenga jamii iliyo bora. Jambo ninalo liona mimi sio tatizo la katiba bali ni mmonyoko wa maadili uliopelekea the whole social system kuparaganyika. Kwahiyo reform hapa sio katiba mpya bali ni kujenga akili na mioyo yetu upya. Reform iko katika mioyo yetu.
Jamii yeyote ovu ina sheria nyingi na inaendelea kutunga SHERIA nyingi lakini haifanyi juhudi za kubadilisha nafsi zao. Hawaoni chimbuko la matatizo yao liko katika mionendo yao ili wairekebishe. Wanajenga jela nyingi lakini jela hizo wanaishia maskini wasiokuwa na hela ya kuhonga na sheria hufanya kazi kwa maskini tu. Kwa hali iliopo sasa hivi katiba itakayokuja haitafanya chochote kama iliyokuwepo ambayo ilitoa haki kibao ambazo hazikuzingatiwa pia misingi ya haki za binadamu na ulinzi wa mali asili na mali za umma lakini watu waliendelea kuua tembo na kuibia taifa sheria haikuzingatiwa iweje kwa kuletwa katiba mpya viongozi wetu wazingatie sheria??
Bunge la katiba litakuwa ni bunge la sherehe tu hakuna kitu chochote kitakachozalishwa kwa faida ya umma. Mwananchi wa kawaida hawatafaidika isipokuwa wachache kwenye tabaka la kisiasa. Tujiulize ni kwa kiwango gani katiba iliyopo ilizingatiwa katika utoaji wa haki za raia?? Je viongozi wetu walikuwa effective kiasi gani kulinda na kutetea katiba iliyopo?? Je ni kweli matatizo yetu ya kisiasa, kiuchumi na kijamii yanatokana na katiba mbovu?? Je wanasiasa wetu ni wasafi kiasi gani hadi tuwaamini kutuanzishia mchakato huu wa katiba?? Naomba tufikiri kwa makini mno kwa sababu hii inahusu mustakabali wa taifa letu. Nchi yeyote yenye serikali utahisi uwepo wake katika nguvu yake ya kutekeleza haki na sheria.
Kadiri inatakavyoona inafaa ndugu zangu nitakuwa naandika ili tukumbushane kuhusu utaifa na mwelekeo wetu kwa sababu naona ni muhimu kufanya hivyo ili kukumbushana.