Taifa makini haliwezi kupuuz Elimu

Taifa makini haliwezi kupuuz Elimu

wadabali

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
9
Reaction score
1
Kwa masikitiko makubwa Taifa letu la Tanzania kwa makusudi tumeamua kuwaachia viongozi wahuni na wapuuzi wa serikali ya CCM wachezee akili za watu, ndugu watanzania wenzangu naomba tufanye yafuatayo:
(1)Serikali ilete mitaala yote ya elimu ili tuhakiki uhalali wake.
(2)Mfumo ambao inatumia kuwalipa watumishi wa umma wakiwemo walimu.
(3) Mkakati wa kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia kwa muda maalumu na sio ahadi bila vitendo.
Ndugu watanzania tutumie ibara ya nane ya katiba ya nchi kuiwajibisha serikali kwa aibu hii ya kuchezea akili za watanzania.
 
Kwa wabunge makini na wenye akili timamu hawawezi kuondoa hoja ya kushughulikia ubovu wa mfumo wa elimu na kusema serikali inafanyia kazi, wakati miaka yote serikali ndio wanaongoza wizara so wanashndwa kuyatatua matatizo hayo...
Problem cannot be solved by the same level of thnkng that created them...
Inahitajika akili ya ziada kutatua
walaaniwe wabunge wa ccm kwa kuzima hoja mbatia na mh. Nasari na watu wote waseme amina
 
mkuu tatizo ni walimu kudhalilishwa na kufanywa watumishi wasio heshima kwa kupewa maslahi duni na kazi nyingi
 
mkuu tatizo ni walimu kudhalilishwa na kufanywa watumishi wasio heshima kwa kupewa maslahi duni na kazi nyingi
 
Back
Top Bottom