Kwa masikitiko makubwa Taifa letu la Tanzania kwa makusudi tumeamua kuwaachia viongozi wahuni na wapuuzi wa serikali ya CCM wachezee akili za watu, ndugu watanzania wenzangu naomba tufanye yafuatayo:
(1)Serikali ilete mitaala yote ya elimu ili tuhakiki uhalali wake.
(2)Mfumo ambao inatumia kuwalipa watumishi wa umma wakiwemo walimu.
(3) Mkakati wa kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia kwa muda maalumu na sio ahadi bila vitendo.
Ndugu watanzania tutumie ibara ya nane ya katiba ya nchi kuiwajibisha serikali kwa aibu hii ya kuchezea akili za watanzania.