Taifa star

Taifa star

beevenom

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
313
Reaction score
432
Kocha amulike nadhani amepata somo kuhusu uwezo wa wachezaji,unawaachaje hawa boko,yondan,Feisal, katika game plan ya match kubwa?
 
Feisal Toto ni shida yule dogo! Kapombe ni zaidi ya Kessi kwa mbali kabisa! Na Boko ni bora kuliko Ulimwengu!
kweli tupu mkuu, hii kikosi ingepangwa mechi ya kwanza basi pengine tungepata hata point moja ya ugenini....ila si mbaya pointi tatu muhimu kibindoni...
 
Alizingua sana yaani beki kama erasto na yondani unawaaacha halafu sio majeruhi unategemea nini hapo
 
Feisal Toto ni shida yule dogo! Kapombe ni zaidi ya Kessi kwa mbali kabisa! Na Boko ni bora kuliko Ulimwengu!
Wewe kumbe ni mtu wa mpira.Unachokisema nadhani kocha atakuwa amekiona jana.Ulimwengu ndo hovyo sana
 
Feisal Toto ni shida yule dogo! Kapombe ni zaidi ya Kessi kwa mbali kabisa! Na Boko ni bora kuliko Ulimwengu!
Toto alifanya nini kikubwa, tatzo lenu mapenzi.. Mtu anayechezadk 25 wakti matokeo yashapatikana simuhesabii kama ameleta changamoto uwanjani.. Ingawa uwezo wake ulionekana lakni kumvimbisha kichwa eti ni shida ni utoto pia
 
Ana miaka 20 ...ilitakiwa awe anacheza Ngorongoro heroes..tumeshapata magoli mawili kazi ilikuwa kuyalinda..Chief Coach akamuingiza kuleta utulivu eneo la kati na alifanya kazi nzuri..makofi tafadhari
 
Back
Top Bottom