Imeendaje huko Ivory CoastWakuu habar ,tuwekane wazi kabisa na wala si kuwatupia lawama wachezaji au kocha ilihali mnajua timu yetu ni mbovu tu miaka nenda miaka rudi mpaka siku za kalenda
Hii timu ingekuwa imefuzu wala isingefungwa na morocco na wala hatafungwa na congo au zambia na tena ingeweza vuka group stage
Na tukitaka ifuzu basi muwapeleke ball boys walioisaidia taifa stars kufuvu
Ukimuona Kobe Yuko juu ya mti ujue kapandishwa,Imeendaje huko Ivory Coast
ni algeria siyo mar.Ukimuona Kobe Yuko juu ya mti ujue kapandishwa,
Mechi ya mwisho Taifa star Ili ifuzu Afcon ilihitaki point moja kutoka kwa Morocco,ni kweli ilipewa point moja,matumda yake ndio tunayavuna sasa.
Hadi kuhitaji point moja maana yake ilikuwa nazo zingineUkimuona Kobe Yuko juu ya mti ujue kapandishwa,
Mechi ya mwisho Taifa star Ili ifuzu Afcon ilihitaki point moja kutoka kwa Morocco,ni kweli ilipewa point moja,matumda yake ndio tunayavuna sasa.
Subilini sasa kelele za nini?Hadi kuhitaji point moja maana yake ilikuwa nazo zingine
Nani anapiga keleleSubilini sasa kelele za nini?
Uzuri ni kwamba usiku wa deni haukawii kucha
Ushoga hauwezi kuisha kwa style hii,mtoto wa kiume kujiropokesha nonsence mbele ya hadhara ni kujivua nguo hadharani,Wakuu habar ,tuwekane wazi kabisa na wala si kuwatupia lawama wachezaji au kocha ilihali mnajua timu yetu ni mbovu tu miaka nenda miaka rudi mpaka siku za kalenda