Taifa Stars ikifungwa na Uganda Rais wa TFF ajiuzulu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hakuna sababu yoyote ya Taifa Stars kufungwa ukizingatia ukweli kwamba Uganda wameshaqualify.

Niwe tu mkweli kwa mechi yetu na Uganda hata kama tutamtumia kocha wa Lipuli ya Iringa lazima tutashinda, hii ni mechi rahisi kuliko mechi zote za awali ilizocheza Stars.

Wito wangu ni kuwa endapo Stars itafungwa na Uganda basi Rais wa TFF ajiuzulu kwa lazima kwani hataweza kufanya lolote la maana siku za usoni!

Michezo haina itikadi
 
No. Safari hii tukifungwa waziri wa mambo ya nje wa TFF ajiuzulu au kama atakua amesafiri basi waziri mkuu wa TFF ajiuzulu.
Rais wa TFF ni kichwa kile.
 
Hakuna sababu yoyote ya Taifa Stars kufungwa ukizingatia ukweli kwamba Uganda wameshaqualify.

Niwe tu mkweli kwa mechi yetu na Uganda hata kama tutamtumia kocha wa Lipuli ya Iringa lazima tutashinda, hii ni mechi rahisi kuliko mechi zote za awali ilizocheza Stars.

Wito wangu ni kuwa endapo Stars itafungwa na Uganda basi Rais wa TFF ajiuzulu kwa lazima kwani hataweza kufanya lolote la maana siku za usoni!

Michezo haina itikadi
hii game inachezwa cape Verde bhana, maana akimfunga lesotho haendi popote yani tumeumia na Amunike wetu
 
Hakuna sababu yoyote ya Taifa Stars kufungwa ukizingatia ukweli kwamba Uganda wameshaqualify.

Niwe tu mkweli kwa mechi yetu na Uganda hata kama tutamtumia kocha wa Lipuli ya Iringa lazima tutashinda, hii ni mechi rahisi kuliko mechi zote za awali ilizocheza Stars.

Wito wangu ni kuwa endapo Stars itafungwa na Uganda basi Rais wa TFF ajiuzulu kwa lazima kwani hataweza kufanya lolote la maana siku za usoni!

Michezo haina itikadi
Kocha ndio anayecheza?? Kwa wachezaji hawa chukua benchi la ufundi lote la timu zinazocheza uefa waungane, waje bado kumfunga uganda ni ngumu!!!! Wakati mwingine ni kujipa kazi za ziada tu bila sababu mechi ya Lesotho kule kwao ndio ilikuwa ya kumalizi, halafu hata ukishinda lazima utegemee matokeo ya Lesotho tena atakayopata!!! Watu wanaweka mikakati mwanzoni tatizo la hapa ni wazee wa kuibuka tu mala tujaze uwanja, mtu hashawishiwi kwenda uwanjani bali matokeo ya timu ndio yanamvuta!!! Na michuano hii sio rahisi timu kukuachia kwani kuna balaa kubwa endapo ikibainika kuna upangaji matokeo!! Kama ni kumfunga ni uwezo lakini mala tuliwakomboa toka kwenye mikono ya nduli amini na ndio maana hadi leo uchumi wetu haukakaa sawa!!! Huko haipo baba!!!
 
Wapigwe tu maana hakuna namna, wenye uwezo wapishwe wasonge mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna sababu yoyote ya Taifa Stars kufungwa ukizingatia ukweli kwamba Uganda wameshaqualify.

Niwe tu mkweli kwa mechi yetu na Uganda hata kama tutamtumia kocha wa Lipuli ya Iringa lazima tutashinda, hii ni mechi rahisi kuliko mechi zote za awali ilizocheza Stars.

Wito wangu ni kuwa endapo Stars itafungwa na Uganda basi Rais wa TFF ajiuzulu kwa lazima kwani hataweza kufanya lolote la maana siku za usoni!

Michezo haina itikadi

Kwahiyo tununue mechi. Uganda hawana cha kupoteza!!!
 
Hakuna sababu yoyote ya Taifa Stars kufungwa ukizingatia ukweli kwamba Uganda wameshaqualify.

Niwe tu mkweli kwa mechi yetu na Uganda hata kama tutamtumia kocha wa Lipuli ya Iringa lazima tutashinda, hii ni mechi rahisi kuliko mechi zote za awali ilizocheza Stars.

Wito wangu ni kuwa endapo Stars itafungwa na Uganda basi Rais wa TFF ajiuzulu kwa lazima kwani hataweza kufanya lolote la maana siku za usoni!

Michezo haina itikadi
Naomba lifungwe magolo 100. Mnaweka muuaji awe kiongozi eti nani yule wa Dar. uaji likubwa mnaliweka mnadhani Mungu ni wa kudhihakiwa?
 
Kocha ndio anayecheza?? Kwa wachezaji hawa chukua benchi la ufundi lote la timu zinazocheza uefa waungane, waje bado kumfunga uganda ni ngumu!!!! Wakati mwingine ni kujipa kazi za ziada tu bila sababu mechi ya Lesotho kule kwao ndio ilikuwa ya kumalizi, halafu hata ukishinda lazima utegemee matokeo ya Lesotho tena atakayopata!!! Watu wanaweka mikakati mwanzoni tatizo la hapa ni wazee wa kuibuka tu mala tujaze uwanja, mtu hashawishiwi kwenda uwanjani bali matokeo ya timu ndio yanamvuta!!! Na michuano hii sio rahisi timu kukuachia kwani kuna balaa kubwa endapo ikibainika kuna upangaji matokeo!! Kama ni kumfunga ni uwezo lakini mala tuliwakomboa toka kwenye mikono ya nduli amini na ndio maana hadi leo uchumi wetu haukakaa sawa!!! Huko haipo baba!!!
Mbwiga nani kamtaja kocha?!
 
Yaani watu mnapiga hesabu ya kwenda AFCON wakati Cape Verde na Lesotho, Lesotho akishinda hatuendi popote

Sent using Jamii Forums mobile app
Lesotho anamfata capeverde nyumbani kumbuka hata huyo capeverde anayo nafasi Kama akishinda....
Nikuhakikishie mkuu Kule Wala hakuna tatizo cape Verde atashinda balaa Ni hukuhuku kwetu sioni kikosi Cha kuipiga Uganda labda waganda waamue tu kuacha kishkaji..ila wakikaza aisee twafa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom