johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
hii game inachezwa cape Verde bhana, maana akimfunga lesotho haendi popote yani tumeumia na Amunike wetuHakuna sababu yoyote ya Taifa Stars kufungwa ukizingatia ukweli kwamba Uganda wameshaqualify.
Niwe tu mkweli kwa mechi yetu na Uganda hata kama tutamtumia kocha wa Lipuli ya Iringa lazima tutashinda, hii ni mechi rahisi kuliko mechi zote za awali ilizocheza Stars.
Wito wangu ni kuwa endapo Stars itafungwa na Uganda basi Rais wa TFF ajiuzulu kwa lazima kwani hataweza kufanya lolote la maana siku za usoni!
Michezo haina itikadi
Kocha ndio anayecheza?? Kwa wachezaji hawa chukua benchi la ufundi lote la timu zinazocheza uefa waungane, waje bado kumfunga uganda ni ngumu!!!! Wakati mwingine ni kujipa kazi za ziada tu bila sababu mechi ya Lesotho kule kwao ndio ilikuwa ya kumalizi, halafu hata ukishinda lazima utegemee matokeo ya Lesotho tena atakayopata!!! Watu wanaweka mikakati mwanzoni tatizo la hapa ni wazee wa kuibuka tu mala tujaze uwanja, mtu hashawishiwi kwenda uwanjani bali matokeo ya timu ndio yanamvuta!!! Na michuano hii sio rahisi timu kukuachia kwani kuna balaa kubwa endapo ikibainika kuna upangaji matokeo!! Kama ni kumfunga ni uwezo lakini mala tuliwakomboa toka kwenye mikono ya nduli amini na ndio maana hadi leo uchumi wetu haukakaa sawa!!! Huko haipo baba!!!Hakuna sababu yoyote ya Taifa Stars kufungwa ukizingatia ukweli kwamba Uganda wameshaqualify.
Niwe tu mkweli kwa mechi yetu na Uganda hata kama tutamtumia kocha wa Lipuli ya Iringa lazima tutashinda, hii ni mechi rahisi kuliko mechi zote za awali ilizocheza Stars.
Wito wangu ni kuwa endapo Stars itafungwa na Uganda basi Rais wa TFF ajiuzulu kwa lazima kwani hataweza kufanya lolote la maana siku za usoni!
Michezo haina itikadi
Wapigwe tu maana hakuna namna, wenye uwezo wapishwe wasonge mbeleKocha ndio anayecheza?? Kwa wachezaji hawa chukua benchi la ufundi lote la timu zinazocheza uefa waungane, waje bado kumfunga uganda ni ngumu!!!! Wakati mwingine ni kujipa kazi za ziada tu bila sababu mechi ya Lesotho kule kwao ndio ilikuwa ya kumalizi, halafu hata ukishinda lazima utegemee matokeo ya Lesotho tena atakayopata!!! Watu wanaweka mikakati mwanzoni tatizo la hapa ni wazee wa kuibuka tu mala tujaze uwanja, mtu hashawishiwi kwenda uwanjani bali matokeo ya timu ndio yanamvuta!!! Na michuano hii sio rahisi timu kukuachia kwani kuna balaa kubwa endapo ikibainika kuna upangaji matokeo!! Kama ni kumfunga ni uwezo lakini mala tuliwakomboa toka kwenye mikono ya nduli amini na ndio maana hadi leo uchumi wetu haukakaa sawa!!! Huko haipo baba!!!
Hakuna sababu yoyote ya Taifa Stars kufungwa ukizingatia ukweli kwamba Uganda wameshaqualify.
Niwe tu mkweli kwa mechi yetu na Uganda hata kama tutamtumia kocha wa Lipuli ya Iringa lazima tutashinda, hii ni mechi rahisi kuliko mechi zote za awali ilizocheza Stars.
Wito wangu ni kuwa endapo Stars itafungwa na Uganda basi Rais wa TFF ajiuzulu kwa lazima kwani hataweza kufanya lolote la maana siku za usoni!
Michezo haina itikadi
Naomba lifungwe magolo 100. Mnaweka muuaji awe kiongozi eti nani yule wa Dar. uaji likubwa mnaliweka mnadhani Mungu ni wa kudhihakiwa?Hakuna sababu yoyote ya Taifa Stars kufungwa ukizingatia ukweli kwamba Uganda wameshaqualify.
Niwe tu mkweli kwa mechi yetu na Uganda hata kama tutamtumia kocha wa Lipuli ya Iringa lazima tutashinda, hii ni mechi rahisi kuliko mechi zote za awali ilizocheza Stars.
Wito wangu ni kuwa endapo Stars itafungwa na Uganda basi Rais wa TFF ajiuzulu kwa lazima kwani hataweza kufanya lolote la maana siku za usoni!
Michezo haina itikadi
Mbwiga nani kamtaja kocha?!Kocha ndio anayecheza?? Kwa wachezaji hawa chukua benchi la ufundi lote la timu zinazocheza uefa waungane, waje bado kumfunga uganda ni ngumu!!!! Wakati mwingine ni kujipa kazi za ziada tu bila sababu mechi ya Lesotho kule kwao ndio ilikuwa ya kumalizi, halafu hata ukishinda lazima utegemee matokeo ya Lesotho tena atakayopata!!! Watu wanaweka mikakati mwanzoni tatizo la hapa ni wazee wa kuibuka tu mala tujaze uwanja, mtu hashawishiwi kwenda uwanjani bali matokeo ya timu ndio yanamvuta!!! Na michuano hii sio rahisi timu kukuachia kwani kuna balaa kubwa endapo ikibainika kuna upangaji matokeo!! Kama ni kumfunga ni uwezo lakini mala tuliwakomboa toka kwenye mikono ya nduli amini na ndio maana hadi leo uchumi wetu haukakaa sawa!!! Huko haipo baba!!!
Cape Verde ana 4 points Taifa Stars ana 5 points usisahau hilo!hii game inachezwa cape Verde bhana, maana akimfunga lesotho haendi popote yani tumeumia na Amunike wetu
Lesotho anamfata capeverde nyumbani kumbuka hata huyo capeverde anayo nafasi Kama akishinda....Yaani watu mnapiga hesabu ya kwenda AFCON wakati Cape Verde na Lesotho, Lesotho akishinda hatuendi popote
Sent using Jamii Forums mobile app
Lesotho nae anapoint ngapi ?Cape Verde ana 4 points Taifa Stars ana 5 points usisahau hilo!
Lesotho ana 5 points kama sisi ila ana advantage ya kuchukua 4 points kutoka kwa Stars!Lesotho nae anapoint ngapi ?
MTC | 101| [emoji769]
Hapa nikuombea Lesotho apoteze mechi yao na Cape Verde , na sisi tumfunge UgandaLesotho ana 5 points kama sisi ila ana advantage ya kuchukua 4 points kutoka kwa Stars!
Hilo la kuifunga Uganda halina mjadala..... Issue ni hao cape!Hapa nikuombea Lesotho apoteze mechi yao na Cape Verde , na sisi tumfunge Uganda
MTC | 101| [emoji769]