Taifa stars ikufungwa na makonda akiwa misri ni aibu kwake na taifa

Taifa stars ikufungwa na makonda akiwa misri ni aibu kwake na taifa

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,346
Mpira sio ramri chonganishi za waganga wa kienyeji, bali mpira ni sayansi iliyosheheni uzakendo wa kweli hasa kwa wachezaji wenyewe pindi mashindano yanapotokea.

Yaani taifa stars ili washinde lazima wabustiwe?. Huu sio uzalendo wa kweli.

Ni bora watumie mbinu zote za kisayansi alafu washindwe ili tuweze kubaini mapungufu waliyonayo wachezaji .

Asipo kuwepo makonda kwani timu haiwezi kushinda????. Huu sio uzalendo kabisa kwa vijana wetu.

Kwa mfano makonda aje misri alafu taifa stars wafungwe si itakuwa ni aibu kabisa kwake na kwa taifa .

Siwaombei wafungwe taifa stars bali najiuliza ili wafunge kwani ni lazima makonda awepo uwanjani??????????
 
Amekwenda kuisaidia timu ishinde Mkuu, kwahiyo ondoa wasiwasi ushindi unakuja. 😀
 
Mpira sio ramri chonganishi za waganga wa kienyeji, bali mpira ni sayansi iliyosheheni uzakendo wa kweli hasa kwa wachezaji wenyewe pindi mashindano yanapotokea.

Yaani taifa stars ili washinde lazima wabustiwe?. Huu sio uzalendo wa kweli.

Ni bora watumie mbinu zote za kisayansi alafu washindwe ili tuweze kubaini mapungufu waliyonayo wachezaji .

Asipo kuwepo makonda kwani timu haiwezi kushinda????. Huu sio uzalendo kabisa kwa vijana wetu.

Kwa mfano makonda aje misri alafu taifa stars wafungwe si itakuwa ni aibu kabisa kwake na kwa taifa .eam

Siwaombei wafungwe taifa stars bali najiuliza ili wafunge kwani ni lazima makonda awepo uwanjani??????????
sisi hapa (team-Algeria-Senegal-Kenya) tunasubiri kwa hamu kubwa kuona Bashite Stars ikipigwa mweleka na kufurumushwa nje ya mashindano.

itakuwa raha sana!
 
afadhali tukifungwa tupate sababu kwamba kuliwepo..........huko.
 
Tumefungwa 3 na majirani bt bado tunasubiri taarifa ya sultani yawezekana tukasamehewa tukasonga hatua inayofuata maana binafsi cjui yaliyomo kwenye ujumbe wa jamhuri ulioenda misri.
 
Back
Top Bottom