je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Katika timu sijawai kuelewa selection ya kikosi basi ni hiii.timu imejaa wachezaji wa bench tu
Timu mbele selection ya kikosi zero, Kibabage na Msindo ni mawinga.? Ligi yote tumekosa mawinga wa pembeni kweli tunategemea Kibabage na Msindo ndio wakatengeneze nafasi kwa washambuliaji?
Halafu wanaanza kabisaaaaaaa
Kuna mawinga kibao lakini kwakuwa hawapo Simba na Yanga basi wanafumbiwa macho.
Kuna huyu dogo Bakar Seleman wa Coastal, Nado pale Azam hata maji mengi Singida bila kumsahau Chasambi.!
Sitaki kuamini kama Msindo ni bora kuliko Chasambi katika upande wa winga ya kulia au kushoto
Kocha aache kutudanganya mpira ni mchezo wa hadharani kila mtu anaona kinachofanyika.
Naamini bado Samata ni bora kulilo Waziri na Mzize